Watoto hawa ambao ukiwaangalia ni wale wenye umri wa kuwa shule wenye makazi yao Wilayani Babati Mkoani Manyara,wakiwa wamebeba vyombo vilivyokuwa na Samaki wa kuuza wakati wakiwa kwenye mizunguko yao ya kutembeza Samaki hao mitaani kama walivyonaswa na kamera man wa Globu ya Jamii aliekuwepo mkoani humo.
Home
Unlabelled
Watoto na shughuli za biashara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
I did this when i was primary school, but i did after school or weekends and i was so proud of what my mom made me do, cause i understood the value of hard work.I used to come back from school at 3pm and take some ripe bananas or roasted peanuts in railways station.
ReplyDeletei and it did not affected me in my education at all, i have two degrees Mechanical engineering and IT ,and i thank my mom to show me from the early age if i don't work hard i wont be successfully.She was so proud of me when i came back home with sold out pane of bananas or roasted peanuts. So don't take these pics out of context some other parents have good intentions.
AM so thankfully my mom taught me the value of hardwork...
Biashara ndio iliyotukuza lakini baada ya shule au hata shuleni kwenyewe! Inasaidia kununulia watoto nguo za sikukuu!!
ReplyDeletewatoto kufanya biashara si mbaya hasa kwa sasa ili mzazi aweze kuisaidia familia na hali maisha ilivyo ngumu bila hivi watoto wako hawatapata kwenda chooni hi ndio hali halisi ya watanzania wengi sio jambo la maana serikali inawaangalia viongozi na sio wananchi watoto mungu awasidie mkuwe na afya na nguvu mujenge taifa la kesho
ReplyDeletejamani huyo mchngiaji wa kwanza si angechangia kwa kiswahili tu. Au kafanya makusudi????
ReplyDelete