The National Board of Accountants and Auditors (NBAA) recently awarded the 2009/2010 Bank of Tanzania Financial Statements as the overall winner in the best presented financial statements.
Further, the NBAA awarded the 2009/2010 Bank of Tanzania Financial Statements as the 1st winner in the Regulatory Agencies Categories for the best presented financial statements. Above is BoT's Director of Finance, Mr. Julius Angello, receiving the award from the Deputy Minister for Finance and Economic Affairs, Mr. Gregory Teu during the colourful ceremony held in Arusha.
na ujanja wangu wote hapa mjini huyo Mh. Naibu Waziri sijawahi kumsikia!
ReplyDeleteKWA KWELI BOT WANASTAHILI HILO TUZO. HII INATAKIWA IWAINGIE AKILINI WOTE WENYE WASI2 NA MASWALI MENGI JUU YA UTENDAJI WA SHIRIKA HILI KUBWA.INATUPA IMANI NA KUELEWA KUA MARA NYINGINE WATU WENGINE WANAISAKAMA KWA MANENO MENGI SANA YA KUSINGIZIA BOT.HONGERENI SANA WADAU WA BENKUU!
ReplyDeleteHongereni BOT kwa hatua hiyo. Naamini kama alivyosema Gavana wenu ni kazi ya vijana hiyo
ReplyDeleteIt is always good reports and good plans. Hapo watanzania tunaongoza kwa sababu elimu yetu tunayopata inalenga kumfundisha mtu jinsi nzuri ya kuweka mambo sawa ili aonekane anaweza nasiyo kufanya mambo kwa uwezo kuleta matokeo mazuri. Ndo sababu maendeleo yetu yote yanaishia kwenye mipango na ripoti tu.
ReplyDeleteHawa jamaa wana ripoti nzuri mpaka wanapata zawadi lakini ukiangalia inflation tuliyo nayo na wameshindwa kuicontrol inadhihirisha maneno yangu hapo juu. Wenzetu kenya wanajivunia shilingi yao inavyopanda dhidi ya dola ya marekani pamoja na tatizo la njaa sisi tunajivunia ripoti nzuri ambayo inatokana na utaalamu mkubwa wa kudanganyana.
Mpaka lini hivi kufanya mambo kufurahisha watu badaka ya kufanya mambo kuleta matokeo mazuriiiiiiiiiiiii>?
Let's change jamani.
BiG UP kwa anon wa Thu Dec 15,08:48:00AM 2011 - Ulichoongea ni sawa kabisa tunataka vitendo; sioni pongezi hii ni ya nini wakati maisha ya mtanzania yanadhidi kuwa duni siku hadi siku.
ReplyDeletemdau namba moja, huyu naibu waziri anaitwa Gregory Teu, mwanzo au zamani alikuwa katika ofisi ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa muda murefu sana. na baadae akagombea ubunge na sasa ni naibu waziri ni mwema saaana na mchapakazi mzuri.
ReplyDeleteJamani muwe mnasoma vizuri kabla ya kutoa maoni/comments. Zawadi hiyo ni kwa namna walivoweka vema mahesabu yao ya ndani, sio namna walivyotimiza wajibu wao kama benkuu. Sasa nyie mnaoyahusianisha hayo mawili na kuanza kulalamikia uchumi nk mnatoka wapi? Tujifunze kujadili kitu kilichopo pasi na kuingiza hoja zisizohusika hata kama ni za kweli. Asanteni,
ReplyDeleteMdau aneyeongelea habari za maisha magumu ya mtanzania yaelekea bado hujaamka. Kasome kidogo economics then uje uongee na kulinganisha swala la mahesabu mazuri ya bot na uchumi wa mtanzania. You are not appreciative! BIG UP BOT MSIKATISHWE TAMAA MA MANENO YA WASIOELEWA
ReplyDeleteUfanisi wa Mahesabu BOT unaakisi mwenendo wa Taasisi,,,Mmenona kigezo kimoja bei ya Dola hapo nyuma ilikuwa inaelekea US$ 1 kwa Tshs. 2,000/= sasa hebu angalieni leo ni US4 1 kwa Tshs. 1,640/=
ReplyDeleteYaani vigezo vya kipimo ni mambo madogo madogo ambayo tunaweza kuona ktk maisha yetu sehemu zetu kila siku Mjaribu kurekodi, kukumbuka na kusoma mwenendo wa bei za dola na mtiririko wa Kiuchumi kama ktk Blogu Ankali Michuzi ana posti bei ya Dafu kila mara!