Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wewe omba kumuona Raisi, ila jaribu kuzingatia itifaki,,,mavazi na utulivu kitabia ukifika ikulu.

    Tusifanye kuonana na Raisi ni kama kwenda kuonana na Babu Loliondo unakwenda kama unavyojisikia ,uwe na msuli ,uwe na bukta uwe na mgolole.

    Kama huna mavazi yenye stara jaribu kuomba suti Dereva au Kondakta wa daladala utakayopanda ukitokea kwako Manzese !

    ReplyDelete
  2. Haya sasa, elekea Ikulu sio na mindala mindala yako au maraba maraba yako, kama huna mdundo pitia kwa mpiga rangi viatu uazime mdundo uache ndala au raba zako uzipitie ukitoka!

    ReplyDelete
  3. Nenda kamwone Raisi wa nchi, ila sio uchukue likaputura lako bovu bovu ,malapa, koti bovu na likapelo lako,,,jaribu kuheshimu kuwa unaenda muona mkuu wa nchi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...