Yaani mmoja anaharaka kuliko mwenzake,haya sasa ona wanachokifanya hapa.maana huyu kafunga njia,mwingine kaja kwa mbele yake na kusimama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Inachekesha mno maana niwaonavyo maderevea wa daladala nawafananisha na serikali yetu kwa kutokuwa na mwongozo bora. Nchi haina mwelekeo na madereva wa daladala kamwe hawatabadirika bcs nobody anawahukumu, kama wangekuwa wanadhibitiwa na serikali kwa kutojali alama/sheria ya barabarani none of this nonsense would've happened. Mwamsheni Kikwete.

    ReplyDelete
  2. Shija - Shekilango.December 30, 2011

    hawa watu wanakera sana, mbaya wao na trafics ni mtu na wajomba zake...sijui sheria za ki-Ditopile zitaweza kutusaidiaa!? Inachosha.

    ReplyDelete
  3. mimi naona dereva si wa kumlaumu,hata nchi nyingi wanamadereva kama hawa.Tofauti ni kwamba dereva wetu anatanua awezavyo kwa sababu waliopewa dhamana ya kusimamia sheria wamelala,wakiamka wanadai posho ili wafanye kazi.kwa kifupi madereva wapuuzi kama hawa ni kipato tosha cha serikali kujiendesha yenyewe kwa mwaka kupitia faini mbali mbali.Ukienda kwa Kikwete leo atakuambia serikali haina pesa wakati wamezikalia.Hii nchi akipewa mtu mwenye akili tutajenga wenyewe FLY OVER,UNDER PASS,Na wageni watatukimbilia kama AUSTRALIA.

    ReplyDelete
  4. Aisee inabidi kuanzisha concentrationscamp na watu hawa kuwapiga risasi njenje ili iwe fundisho kwa kunguru wengine.

    ReplyDelete
  5. Mdau umenifurahisha kweli kweli...nimeipenda hii "NA WAGENI WATATUKIMBILIA KAMA AUSTRALIA" Kwa kweli kanchi ketu kanachosha jamani. Huelewi nini kifanyike tubadilike, wala hujui uanzie wapi...loh! TRA, BANDARI, AIRPORT,BANK, UTALII, SHULE, VYUO na sasa MASHIRIKA BINAFSI...!Kila mahali pananuka uvundo wa rushwa, uzembe, ukiukwaji wa maadili ya kazi na ukosefu wa haki! Kikwete, baraza lako, na wabunge mnatupeleka wapi!? Hivi mtarudi kutuomba kura!? Mungu atusaidie jamani maana tumechoka!

    ReplyDelete
  6. Serikali ifanye haraka kujenga furahi-ova la sivyo.............

    ReplyDelete
  7. Mimi narudi bongo soon!! Ntatembea na rungu na kiboko. This is ridiculous!!! We need Traffic police that are truly mobile and do their work as they suppose to.

    ReplyDelete
  8. Tatizo la watu wengi, hususani bijana ni kukosa AKILI wakati wa kufanya maamuzi ya kawaida kabisa. Kukosa akili na sio elimu ndio chanzo cha migogozo ya kipuuzi katika jamii. Kwa kuliona hilo nimeanzisha www.wilguy-jibebe.blogspot.com, ukiwa kama mdau naomba uipitie na kutoa maoni. Tusaidiane ili kuwa na jamii yenye utulivu wa akili.
    www.wilguy-jibebe.blogspot.com na wewe kwa maisha fasaha

    ReplyDelete
  9. madereva wanafanya hivyo kwa sababu ya sheria mbovu, hapo askari akikamata hilo daladala, anaandika wrong parking gari namba fulani, na kulishiklia kituoni kama vile gari ndio iliyofanya makosa na kumuachia huru dereva wake, mpaka mwenye aje alipe faini ndipo gari yake inaachiwa. kosa kafanya dereva anaadhibiwa mwenye gari, huyo dereva ataacha kurudia kosa?

    ReplyDelete
  10. KWASABABU HAKUNA VYOMBO VYA USALAMA BARABARANI MBONA HUKU U.K HAWAFANYI HIVYO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...