Salaam Kaka Michuzi, Mdau nimeambatanisha picha ya Jeep yangu nauza, in good running & body condition. 8-10km/litre, BVQ registration. Interested buyer atwange 0713 860 860 ama 0767 same number. Shukrani nazitanguliza. Mdau. |
Home
Unlabelled
jeep for sale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Unauza kiasi gani? Engine size? Model? Year? Fuel? Transmission?
ReplyDeletegari iko wapi na unauza kiasi gani. Pia toa maelelezo hiyo jeep ina miles ngapi, ya mwaka gani, cylinder ngapi na mengineyo.
ReplyDeletehi,toa maelezo ya gari basi, unauza mapambo?
ReplyDeletemaswali mengi ya nini msilete udalali hakuna ganji kuona hapa kama una hela piga simu or shut the back up
ReplyDeletegari la urithi au ?
ReplyDeletetujuze ili tujuwe mapema