
Sehemu ya mashabiki walioshuhudia mpambano wa nusu fainali kati ya Kilimanjaro Stars na Malawi leo mneshno ambapo watoto wa nyumbani wameibuka kidedea kwa bao 1-0 na kutinga nusu fainali. Julio Oye!

Heka heka uwanjani leo
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Angalieni "wanyasa" wa kinondoni na magomeni wanavyosikitika kwa ushindi wa kilimanjaro stars, ni aibu kubwa!!!
ReplyDeletemie nadhani ile mibwege na hata gazeti la dimba kuna muandishi mmoja kaandika nyota wa yanga wafunika challenge akimaanisha eti goli la uganda limefungwa na mchezaji aliye yanga na vivyo hivo goli la Killi stars ni aibu hata kwa mhariri kuruhusu habari hiyo ikachapishwa sijui taaluma yake ipo kamili ni kweli hao wanachezea yanga lakini pale ni Killi stars ndo imeshinda na uganda ndo imeshinda ondoka na dhana potofu za u yanga au u simba ktk timu ya taifa ni aibu sana uliye andika
ReplyDelete