Mzee Frank Ukumu (67) mkazi wa barabara ya 18 Jijini Tanga, akimsaidia mkewe Selina Ukumu (56) kuchoma maandazi kwa ajili ya kuuza katika barabara ya simu. mzee Ukumu ambaye alikuwa akifanya kazi kampuni ya ujenzi ya MECCO alilamikia hatua ya kushindwa kulipwa mafao yake licha ya suala lake kufika mahakamani na kushinda kesi lakini bado hadi leo anahangaikia malipo yake kiasi cha kushindwa kuondoka kurudi kwao Musoma mkoani Mara. Picha na mzee wa Bonde.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tabia hii ya kugomea hukumu iliyotolewa kihalali na mahakama iliyo halali imeanza lini?, na kwanini sheria isichukue mkondo wake, kwamba yule aliyepaswa kumlipa baba huyu afilisiwe kama hataki kulipa, hivi wale tunaowaita "ma-court blooker" wale wanafanya kazi gani wangemsaidia huyu mzee, watu wajitahidi kutenda haki, unaweza kukuta hatahela yenyewe wanayo mrusha namna hii ni ndogo tu.
    I don't like this, this is my country and these are my people.
    fuatilia hilo michuzi tunataka kujua hatima ya huyu mzee, hatuta watu wanao wafanya wenzao wafe haraka kwa kuwanyima haki zao.

    ReplyDelete
  2. babu angalia usiunguze mapaja jamani.

    ReplyDelete
  3. wewe muafrika wa pili unaesema baba angalia usiungue mapaja ninyi ndio mnawazalilisha wanawake

    ReplyDelete
  4. Hii sio limbwata jamani!?

    ReplyDelete
  5. HILI NI LIMBWATA FULL DOZ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...