UWEKA HAZINA: Sarah Swai
: Salehe Chande
UWAZIRI MKUU: Helena Merchant
Heri Mohamed Abdallah
UMAKAMUU WA RAISI: Twalib Yusuph Mwinshehe
URAIS: Ali Abbas Ramadhan
Gilbert Mkenda
Gibson Kilingo
NB:
Kuchelewa kutolewa majina ya wagombea ni kutokana na mchujo mkali uliokuwa ukiendelea kutokana na wagombea kuwa wengi hivyo kulazimika kutumia busara za ziada.
Pia tume imefikia mapendekezo mbalimbali kuhusu uongozi wa jumuiya yetu ambayo yatawasilishwa siku ya uchaguzi(22/12) mjini Bourmedes.Tume inawatakia maandalizi mema ya uchaguzi.
Imetolewa na
Raymond Mauki - Chairman
Imetolewa na
Raymond Mauki - Chairman
Kwa kuzingatia mwongozo wa katiba ya jumuiya ya waTanzania waishio nchini ALGERIA (ATSA). Tume ya uchaguzi chini ya mwenyekiti RAYMOND MAUKI inapenda kuwatangazia majina ya wagombea katika nafasi mbalimbali kama ifuatavyo::
UWEKA HAZINA: Sarah Swai
: Salehe Chande
UWAZIRI MKUU: Helena Merchant
Heri Mohamed Abdallah
UMAKAMUU WA RAISI: Twalib Yusuph Mwinshehe
URAIS: Ali Abbas Ramadhan
Gilbert Mkenda
Gibson Kilingo
NB:
Kuchelewa kutolewa majina ya wagombea ni kutokana na mchujo mkali uliokuwa ukiendelea kutokana na wagombea kuwa wengi hivyo kulazimika kutumia busara za ziada.
Pia tume imefikia mapendekezo mbalimbali kuhusu uongozi wa jumuiya yetu ambayo yatawasilishwa siku ya uchaguzi(22/12) mjini Bourmedes.Tume inawatakia maandalizi mema ya uchaguzi.
HONGEREENI WANA ATSA TUNATAKA KIONGOZI BORA .ALIYE MWADILIFU MWENYE HISTORIA YA TABIA NJEMA.
ReplyDeletewanaatsa nawausia msisahau ya kuwa ni jukumu lenu kumchagua mtu mwenye sifa na atakayeweza kuisaidia jumia.na vinginevyo ni yaleyale yaliyokwisha tokea.KUWE NASERA BORA KABISA ZITAKAZO LETA MAFANIKIO.kama alivyo sema hapo juu sifa ya uongozi ni jambo jema mu mwenye mienendo mibaya hawezi leta manufa.KILA LA KHERI ATSA ALGERIA.
ReplyDeletehiyo si bendera ya Tanzania!
ReplyDeleteMichuzi hii ni bendera ya nchi gani? TUHESHIMU JAMANI!
ReplyDelete