Mzee Frank Ukumu (67) mkazi wa barabara ya 18 Jijini Tanga, akimsaidia mkewe Selina Ukumu (56) kuchoma maandazi kwa ajili ya kuuza katika barabara ya simu. mzee Ukumu ambaye alikuwa akifanya kazi kampuni ya ujenzi ya MECCO alilamikia hatua ya kushindwa kulipwa mafao yake licha ya suala lake kufika mahakamani na kushinda kesi lakini bado hadi leo anahangaikia malipo yake kiasi cha kushindwa kuondoka kurudi kwao Musoma mkoani Mara. Picha na mzee wa Bonde.
Home
Unlabelled
Kusaidiana ndi0 huku, tusiwaachie akina mama peke yao jamani...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tabia hii ya kugomea hukumu iliyotolewa kihalali na mahakama iliyo halali imeanza lini?, na kwanini sheria isichukue mkondo wake, kwamba yule aliyepaswa kumlipa baba huyu afilisiwe kama hataki kulipa, hivi wale tunaowaita "ma-court blooker" wale wanafanya kazi gani wangemsaidia huyu mzee, watu wajitahidi kutenda haki, unaweza kukuta hatahela yenyewe wanayo mrusha namna hii ni ndogo tu.
ReplyDeleteI don't like this, this is my country and these are my people.
fuatilia hilo michuzi tunataka kujua hatima ya huyu mzee, hatuta watu wanao wafanya wenzao wafe haraka kwa kuwanyima haki zao.
babu angalia usiunguze mapaja jamani.
ReplyDeletewewe muafrika wa pili unaesema baba angalia usiungue mapaja ninyi ndio mnawazalilisha wanawake
ReplyDeleteHii sio limbwata jamani!?
ReplyDeleteHILI NI LIMBWATA FULL DOZ.
ReplyDelete