MAKAMO KWA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF SHARI FF HAMAD AKIZUNGUMZA NA WAANDHISHI WA HABARI KATIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZAMANI KUHUSIANA NA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA. KULIA NI WAZIRI WA NCHI AFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS, MH FATMA ABDULHABIB FEREJ.
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA WANAMSKILIZA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS HAYUPO PICHANI WAKATI ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NAO KUHUSU MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.
Jamani ndio tunapotosha kiswahili. Ni Makamo au Makamu wa Raisi??
ReplyDelete