Afisa wa Baraza la kuhifadhi Mazingira[NEMC] Bi Joyce Omolo akimueleza Mikakati inayochukuliwa na Nemc kuhusu Kuhifadhi Mazingira Bw Cesilia Katata Kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru yanayofanyika kwenye Viwanja vya Saba Saba Mijni Dar es salaam
Afisa wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Thomas Chali akiwaonyesha Vipeperushi Bw Deuotha Filemom na Maraha Daudi kuhusu Mikakati ya Kuhifadhi Mazingira na Kupanda Miti kwenye Vianzo vya Maji, kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea Kwenye Viwanja vya saba Saba Mjini Dar es salaam[picha na Ali Meja]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...