WALIOCHAGULIWA KWENYE UCHAGUZI NGAZI YA TAIFA WA CHAMA CHA WAANDISHI WA FILAMU/TANZANIA SCREEPTWRITER ASSOCIATION-TASA
Tunawapongeza wote waliochaguliwa kama wajumbe na nafasi nyingine za kiutendaji,Tunatarajia kuwa kuchaguliwa kwao kutaleta changamoto za kiutendaji na kusukuma mbele maendeleo ya TASA naTAFF.
- Abdul Maisala -Mwenyekiti
- Kimela Billa -Makamu Mwenyekiti
- Samwel Kitang’ala -Katibu
- Subira O.Nassor Chuu -Mweka Hazina
- Mike Sangu -Mjumbe
- Dimo Debwe -Mjumbe
- Ramadhani King’aru -Mjumbe
- Badru Soud -Mjumbe
- Amos Banzi -Mjumbe
- Nasir Mohamed -Mjumbe
- Christian Kauzeni -Mjumbe
- Pirre Mwinuka Mwakalukwa -Mjumbe
- Erick Chrispin -Mjumbe
Tunawapongeza wote waliochaguliwa kama wajumbe na nafasi nyingine za kiutendaji,Tunatarajia kuwa kuchaguliwa kwao kutaleta changamoto za kiutendaji na kusukuma mbele maendeleo ya TASA naTAFF.

Mfanye kazi na kuacha kulalama,Muangalie mafanikio ya wasanii kwa sehumu nyingine za Africa yalivyo mazuri maana tukiwaambia Ulaya mtasema mbali.
ReplyDelete