MKUU WA MKOA WA RUVUMA,MH. SAID MWAMBUNGU AKIKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA HUO (HAWAPO PICHANI) JUU YA SAKATA LINALOENDELEA LA MALIPO YA WAKULIMA WA MAHINDI WA MKOA HUO AMBAO WANAIDAI SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 9 BAADA YA KUUZA MAHINDI YAO KWA WAKALA WA CHAKULA WA TAIFA (NFRA) KITUO CHA SONGEA,AMBAPO AMEAHIDI KWA WAKULIMA HAO KUWA SERIKALI IFIKAPO MWISHONI MWA WIKI HII ITALIPA MADENI HAYO.
Home
Unlabelled
MKUU WA MKOA WA RUVUMA ATOA UFAFANUZI JUU YA MALIPO YA WAKULIMA WA MAHINDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kila kona serikali inadaiwa kazi sana
ReplyDeleteNi ajabu serekali kukosa hela za wakulima lakini wakapata za kuongeza posho za wabunge! Jamani tunakwenda wapi?
ReplyDelete