Wadau Anderson Rwelu na Deusdedit Doto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kulamba nondozz katika chuo kikuu kishiriki cha ushirika na Biashara(MUCCoBS),mjini Moshi hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Doto long time mzee wa pondi ..congrants sana mkuu

    ReplyDelete
  2. Hongereni wadau Anderson Rwelu na Deusdedit Doto. Nakikumbuka sana MuCCoBS wakati huo nikisoma Shule ya Sekondari Old Moshi, inayopakana na shule hiyo, miaka ya 1980. Wakati huo kilikuwa kikiitwa Chuo cha Ushirika. Mara nyingi wanafunzi wa Moshi Seco walikuwa wakijifanya ni wanafunzi wa chuo hicho hasa nyakati za chakula, wenyewe tukikuwa tukiita 'kuzamia msosi Ushirika'. Chakula cha chuoni hapo kilikuwa ni kizuri sana ikilinganishwa na kile tulichokuwa tukila shuleni. Huwezi kuamini kuwa baadhi ya watu waliokuwa wakizamia msosi Ushirika hivi sasa ni watu wenye nyadhifa kubwa tu serikalini na katika makampuni mbalimbali. Big up MUCCoBS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...