Bi Reziki Lesuya(shoto)akiongozana na mpambe wake kwenda kumtafuta bwana harusi mtarajiwa katika sherehe ya kuagwa iliyofanyika katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi.
Bi Riziki Lesuya akiwa na mume wake mtarajiwa Ayubu Mmakasa wakitembea kwa pozi kuelekea katika bufee.
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro Bi Hilda Kileo akiongoza waandishi wa habari kwenda kutoa zawadi kwa mwandishi mwenzao Bi Riziki Lesuya.
Waandishi wa habari wakijimwaga ukumbini.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.


Ongera Riziki
ReplyDelete