Mfalme wa mduara Mzee Yusuf anataraji kufanya ziara ya nchini Marekani Januari 2012. Kwa muajibu wa waenyeji wake, ndugu Mao na Bilal wa New York, Mfamle atafungua dimba ndani ya jiji la NEW YORK siku ya Januari 21,2012 . Baada ya show hiyo Mzee Yusuf ataendelea na ziara yake nchini Marekani katika miji mikuu ikiwemo Washington DC, Minneapolis MN, Houston TX, Seattle WA, Boston MA..
Home
Unlabelled
MZEE YUSUF MFALME WA MDUARA KUTINGA NEW YORK JANUARI 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Marekani kuna mji mkuu mmoja tu na ni Washington D.C., hii mingine ni miji tu kama vila Mtwara, Iringa, na Mwanza.
ReplyDeleteanaenda na kundi lake au alone?
ReplyDeletemzee masifa suruali haina mifuko au?naona funguo zinaning'inia kama askari wa jela au ndio show-off ushamba mtupu
ReplyDeleteVIONGOZI WA TANZANIA COMMUNITY IN NEW YORK WALIWAKANGANYA WATU WAKATI WA SHEREHE ZA MIAKA 50 UHURU KWA KUTANGAZA KUWA HUYU BWANA (MZEE YUSUF) ANGEKUWEPO. WAKAWALIPISHA WATU $30 KIINGILIO NA HAWAKUTOA SABABU WALA KUOMBA MSAMAHA KWA TAARIFA POTUFU. NAWASHAURI WATU MSIDANGANYWE NA HAWA VIONGOZI, NI WACHAKACHAUJI TU. KAMA KWELI MZEE YUSUFU SAFARI HII ANAKUJA KWELI NASHAURI MSIENDE NEW YORK LABDA MIJI MINGINE, HAWA JAMAA NI WIZI MTUPU.
ReplyDeletewe funguo zake zinakuboa nini? kama mifuko mifupi zikidondoka utamsaidia kutafuta? mihater bwana, utaijua tu
ReplyDeletemifuko mifupi kwani suruali ya kike hiyo au na wewe ndio walewale mr/mrs misifa hayo mambo yashapitwa na wakati usharobaro wa kizamani
ReplyDelete