Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Chuo cha CBE ( GS) (kulia ) akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya TIA ( kulia) katika mchezo wa hatua ya musu fainali za mashindano ya Shimivuta, mjini Morogoro, timu ya CBE iliibuka washindi kwa mabao 40 -24 .

Nahodha wa timu ya Netiboli ya  Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam, (CBE), Evodia Sanga ( mwenye jezi WA),akitoa pasi kwa mchezaji mwenzake ,Penina Mbaya ( mwenye jezi GS) wakati wa  mchezo wa nusu
fainali dhidi ya timu ya Chuo cha Uhasibu Tanzania ( TIA)  uliofanyika Desemba 16, mwaka huu kwenye michezo ya 36 ya Shimivuta, mjini hapa, katika mchezo huo , CBE ilishinda mabao 40 -24. Picha zote na John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka,

    Huyo EVODIA huyoi kama bado hajaolewa naomba awasiliane nami tafadhali.

    Kama ameolewa basi, maana mke wa mtu sumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...