Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, , Mheshimiwa Pireira Ame Silima (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya The Procurement and Supplies Proffessionals and Technician Board (PSPTB), Bw. Noel Mrope baada ya kufngua mkutano wa mwaka wa PSPTB kwenye kituo cha kimataifa cah mikutano cha AICC mjini Arusha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu, Mwenyekiti wa Bodi ya The Procurement and Supplies Professionals and Technician Board (PSPTB), Sister Catherene Bandiho(kushoto) baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa bodi hiyo kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha AICC, Desemba 14, 2011. Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPTB, Noel Mrope.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , akikagua ujenzi wa jengo la ofisi za makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Mjini Arusha Desemba 14, 2011ambalo linatarajiwa kuwa limekamilka ifikapo Februari mwakani. Kushoto ni Mratibu wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo hilo, Phil Kleruu na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya anayeshughulia Fedha na Utawala, Dr. Rotich. Picha na PMO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...