sherehe ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Rome, Italy.For more info wanaweza kututembelea hapa www.watanzania-roma.blogspot.com. 

Thanx

Andrew Chole Mhella
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Rome.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. WAKATI UMEFIKA KWA WATANZANIA KUWA WAWAZI.KUSEMA KWELI SI KUWAHI KUSIKIA TANZANIA IMETAWALIWA NA MKOLONI AU YEYOTE NA WALA SIJUI KAMA KUNA KITU KINAITWA UHURU WA TANZANIA.Tumeungana baada ya uhuru ndipo tukapata Tanzania.Hivyo basi kwa nini hatuenzi Uhuru wa Tanganyika kama wanzibari wanvyosema kwao Uhuru wa Zanzibar?Uhuru ni nje na Muungano,na Muungano uko kivyake au sijui tumepotoka kwa sababu ya kiswahili?au tunachotaka kuficha watoto wetu ni kipi?Je wasijue kwamba kulikuwa na nchi inaitwa Tanganyika?au kuna nini ni kusema Uhuru wa Tanganyikla kabla ya Muuungano uliotupatia Tanzania?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...