Ni mwaka mmoja tangu Bwana alipokuita nyumbani kwake tarehe 02/12/2010.
Unakumbukwa sana na mkeo mpendwa Edna Kayuza wanao Josephine Kayuza Mwaisupule, Masauko Kayuza, Hellen Kayuza na Simon Kayuza, Mkwe wako, wajukuu zako, Kaka yako, wadogo zako, Dada zako, Binamu zako, Mashemeji zako, Ndugu, Jamaa na marafiki.
Tulikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaidi.
Missa ya Baba yetu mpendwa wetu itafanyika katika kanisa la Anglican la watakatifu wote Temeke tarehe 17/12/2011 saa 10 jioni wote mnakaribishwa.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Ameni.
Ulale pema Mwalimu Kayuza.
ReplyDeleteNimeshtushwa kuona hapa kuwa mwalimu wangu mpendwa aliyenifundisha Dodoma Alliance Sec. School (sasa Mazengo) kwamba keshatutoka. Nawapeni pole watoto na jamii yote ya Marehemu. Nakumbuka jinsi gani aliweza kuni influence mimi binafsi as he was a young, suave, extremely cool dude who was more of a friend to us students than a teacher.... This was way back in 1966 to 69!!! Alikuwa way ahead of his time in interacting with students na kuweza kutufundisha "maisha" nje ya darasa kwa manufaa yetu. He sure was a great role model!!
ReplyDeleteI am proud to be one of your succesful products Mwl. Kayuza, I am so grateful and forever indebted to you.
May God rest your soul in eternal peace!
JJ.