Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 1.07 na Balozi wa Ufaransa nchini,Mh. Marcel Escure (kulia) jana jijini Dar es salaam. Fedha hizo zitasaidia sekta ya umeme na uboresha wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Balozi wa Ufaransa nchini,Mh. Marcel Escure (kulia) akiongea mara baada ya kusaini makubaliano na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijja (kushoto) ya kuipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 1.07 jana jijini Dar es salaam. Fedha hizo zitasaidia sekta ya umeme na uboresha wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akiongea mara baada ya kusaini makubaliano na Balozi wa Ufaransa nchini,Mh. Marcel Escure (kulia) ya kuipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 1.07 jana jijini Dar es salaam. Fedha hizo zitasaidia sekta ya umeme na uboresha wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...