Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrands Bw. Joseph Kusaga mkurugenzi wa Clouds Fm (kushoto) usiku huu katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar. Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer, katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika ubora wa viwango vya bidhaa na kukubalika kwa walaji, katika hafla inayofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam usiku huu, ambapo makampuni mbalimbali yatapata tuzo hizo kutoka kwa taasisi hiyo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...