Watanzania waishio Canada wakisherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara Jiji Toronto.
Watanzania wakijumuika pamoja katika kusherehekea mika 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara sherehe zilizofanyikia Toronto, Canada.
Watanzania wa Cananda wakiwa na furaha walipojumuika pamoja katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara.
Watanzania wakijumuika pamoja katika kusherehekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara ndani ya Jiji la Toronto.
Watanzania waishio Canada wakicheza mduara katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru.
Ni furaha ni kucheza katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara kulikofanywa na Watanzania waishio Canada,sherehe zilifanyikia Jiji la Toronto,Canada.
Wadau wakipapata picha ya pamoja.
Ni furaha na kwenda mbele kama uoanavyo mwenyewe katika picha hii Watanzania waishio Canada wakisherehekea Miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara.
Wadau wakiduarika.
Wadau wakipata picha ya kumbu kumbu katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Bora mlipata muda wa kupumzika maana Canada boksi ni 24 hours 7 days a week.

    ReplyDelete
  2. Nice pics!!!

    ReplyDelete
  3. Canada hatubebi box weee watu wote huku ni professional with great jobs! @ Anonymous 02:31

    ReplyDelete
  4. Naimah nakuona hapo! Huyo dada mwenye chupa ya maji ni Edith au?

    ReplyDelete
  5. Mambo ya kazi za kubeba maboksi (boxes) ni Ulaya walikofilisika kifedha na kiuchumi hasa UK!

    ReplyDelete
  6. Mambo ya kazi za kubeba maboksi (boxes) ni Ulaya walikofilisika kifedha na kiuchumi hasa UK!

    ReplyDelete
  7. mkiposti pics zenu za huko mnakoita ughaibuni mnatuonesha maisha ya shangwe muda wote na hii ni ishara ya maisha mazuri yenye mafanikio , tatizo ni mkifa huwa ni utata sijui ni kwa wote au wa maeneo fulani maana mtatembeza bakuli hata humu kwenye blog ya jamii .

    ReplyDelete
  8. A Dora Mtoto wa kichaga looking good!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...