Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Maendeleo la Mkoa wa Kilimanjaro (KDF) na Waziri Mkuu Mstaafu,Cleopa Msuya (wapili kushoto) na Makamu wake, Anald Kileo (kushoto baada ya kufungua mkutano wa KDF kwenye hoteli ya Kilimanjaro Cranes Mjini Moshi, Desemba 15,2011. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Siha, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
Unlabelled
Waziri Mkuu afungua mkutano wa Jukwaa la Maendeleo la Mkoa wa Kilimanjaro (KDF)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana.
ReplyDeleteDMK
Jambo jema na kanda nyingine tuige mfano maana ni wa maendeleo. Hii itapunguza malumbano hasa ya siasa.
ReplyDeleteNi Cleopa Msuya SI Leopa Msuya.
ReplyDelete