Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Maendeleo la Mkoa wa Kilimanjaro (KDF) na Waziri Mkuu Mstaafu,Cleopa Msuya (wapili kushoto) na Makamu wake, Anald Kileo (kushoto baada ya kufungua mkutano wa KDF kwenye hoteli ya Kilimanjaro Cranes Mjini Moshi, Desemba 15,2011. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Siha, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Safi sana.

    DMK

    ReplyDelete
  2. Jambo jema na kanda nyingine tuige mfano maana ni wa maendeleo. Hii itapunguza malumbano hasa ya siasa.

    ReplyDelete
  3. Ni Cleopa Msuya SI Leopa Msuya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...