FAMILIA YA BIBI SOPHIA KAWAWA SHEWEEN, INAPENDA KUTOA SHUKRANI ZAKE ZA DHATI KWA NDUGU, JAMAA, MARAFIKI, WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI KWA USHIRIKIANO, UPENDO NA FARAJA MLIYOIONYESHA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA MPENDWA WETU MAREHEMU AZIZ SHEWEEN ALIYEFARIKI DISEMBA31, 2011 HUKO RIYADH, SAUDI ARABIA NA KUZIKWA JANUARI 7, 2012, MOSHI, KILIMANJARO .
WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE AROBAINI (HITMA) YA MAREHEMU AZIZ SHEWEEN ITAKAYOFANYIKA JUMAPILI TAREHE 5/2/2012 KUANZIA SAA 5.00 ASUBUHI - .MIKOCHENI DAR ES SALAAM (KARIBU NA SHULE YA KWANZA).
KUFIKA KWAKO NI FARAJA KWETU.
TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU ZA DHATI.
INNALILAH WAINNAILAYHI RAJUUN!
Asante Bi. Sophia,tutashiriki pamoja. Mwenyezi Mungu akujalie moyo wa subra,nguvu na afya pamoja na wototo wako. Tuzidi kuenzi ucheshi,upendo na uchapakazi wake. May his soal rest in peace. Amina
ReplyDeletehttp://signup.wazzub.info/?lrRef=a505a make money through internet
ReplyDelete