Meneja wa Tawi la Azania Benki Kariakoo,Ndugu Naiman Sabuni akimkabidhi Laptop Denis Mangale wa CBE Dar es salaam.
Afisa Mwendeshaji wa Tawi la Azania Benki Mbauda, Ndugu Hshim Simchimbey akimkabidhi Chacha wambura Wa chuo cha Uhasibu , Hundi ya Tsh. 1 .5million baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano la Aspire Akaunti.
Ndugu Nsajigwa Mwakatika, Afisa Mwendeshaji Tawi la Benki ya Azania , Mwaloni Mwanza akimkabidhi Laptop Mwanafunzi ndugu Luomba O Shadrack wa -CBE College Mwanza, baada ya kuibuka mshindi.
Afisa wa Benki ya Azania Mwaloni Mwanza Ndugu Msajigwa akimkabidhi mshindi wa Laptop Dorcas Jactan-CBE College.
Afisa Mwendeshaji Tawi la Azania Benki Mbauda,Arusha. Ndugu Hashim Simchimbey akimkabidhi mshindi wa Laptop Jackline Sway wa Chuo cha Uhasibu Arusha.
Ndugu Mwakatika Msajigwa, afisa mwendeshaji wa tawi la Azania Benki Mwaloni- Mwanza akimkabidhi Zawadi ya Laptop Dada Angelina Kimaro wa Ngaza Secondary.
Afisa Mwendeshaji wa Tawi la Azania Bank Mbauda, Arusha , Ndugu Hashim Simchimbey akimkabidhi Laptop Ramadhani mkorehe wa Chuo cha Uhasibu Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...