The Tanzania's Ambassador to Ethiopia  H.E J BISWARO (with glasses) leaving the meeting at the 2nd day of the 18th ordinary session of the assembly of heads of stae and government at the UA headquaters in addis ababa - Photo by Ayoub mzee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka Michu kweli huyu mwandishi amebobea katika makala na uchambuzi lakini kwenye tasnia ya upigaji picha mhhhh!! Akuachie wewe. Hii picha haisemi chochote kuhusu mkutano wa AU. Kama ni kuhusu balozi anavyo smile sawa.

    ReplyDelete
  2. Haswaa anon wed 25,03:12:00 pm 2012

    ReplyDelete
  3. Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Tanzania inawakilishwa na balozi? Au mshiko kidogo.

    ReplyDelete
  4. Hiki ni kikao cha mwanzo cha maafisa baadaye kitafuata kikao cha Marais (Summit)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...