Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa barabara Dkt.  James Wanyancha (kushoto) pamoja na Mhandisi Julius Ngusa kutoka ofisi ya Tanroads (wa pili kulia) wakimsikiliza Mhandisi Ndekumana wa Tanroads(kulia) kuhusu uharibifu wa daraja la Tabata Kinyerezi Mkoani Dar es Salaam lilioharibiwa na mafuriko mwisho wa mwaka 2012.ambalo lipo kwenye ukarabati.
Mwenyeki wa Mfuko wa Bodi ya Barabara  Dkt. James  Wanyancha akitoa maelezo kwa waandishi wa habari (pichani hawapo) kuhusu maendeleo ya ukarabati wa eneo la daraja la Mbezi katika barabara ya Morogoro (Morogoro road (Mbezi) iliyoharibiwa na mafuriko ya mwaka jana,ambapo mfuko wake umetoa fedha za dharua zaidi ya shilingi bilioni tano (5b/-) zilizoombwa za dharura na mkoa wa Dar es salaam kwajili ya kusaidia ukarabati.
mafundi wakiendelelea na ukarabati huko barabara ya morogoro eneo la mbezi.
uharibifu wa mazingira kwenye daraja la boko watu wakiendelea kuchimba mchanga
ukarabati wa eno la daraja la Matosa huko Goba katika wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam ambalo Mwenyekiti wa Mfuko wa Bodi ya Barabara Dkt. James  Wanyancha (hayupo pichani ) alikagua maendeleo ya ukarabati.(Picha na Mwanakombo Jumaa- Maelezo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi kule baharini kama unaelekea coco beach kuna kitu kama merikebu ndeeefu hivi nini jamani mtujuze tuliokuwa huku city center

    ReplyDelete
  2. Zaidi ya ziara ya Ukaguzi wa Miradi ya Madaraja na Miundombinu::

    CHA MUHIMU NI KUFANYA NI ''BUDGETARY EXPEDNUTURE VURSUS INFRASTRURAL IMPEDIMENTATION REFLECTIONS''

    YAANI: Matumizi yakiakisiwa na kile kilichopatikana au kujengwa.

    KWA LUGHA INGINE KUBAINI MATUMIZI MABOVU KWA VITU VYA MIUNDOMBINU AU MATUMIZI HAKUHITAJI SHULE SANA, Mfano Mkandarasi mmoja alipochota Shs. 700 Milioni kutoka Manispaa Moja kule Mkoa wa Mara kwa ujenzi wa mashomi 7 ya vyoo vya Shule!.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza ile kule Coco Beach kama Mnara ni ''Light House'', yaani taa ya kuongoza Meli zikiingia katika Mlango wa Bahari au Bandari.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza ile kule Coco Beach kama Mnara ni ''Light House'', yaani taa ya kuongoza Meli zikiingia katika Mlango wa Bahari au Bandari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...