What do you know about the AU?

The advent of the African Union (AU) can be described as an event of great magnitude in the institutional evolution of the continent. On 9.9.1999, the Heads of State and Government of the Organisation of African Unity issued a Declaration (the Sirte Declaration) calling for the establishment of an African Union, with a view, inter alia, to accelerating the process of integration in the continent to enable it play its rightful role in the global economy while addressing multifaceted social, economic and political problems compounded as they are by certain negative aspects of globalisation.

The main objectives of the OAU were, inter alia, to rid the continent of the remaining vestiges of colonization and apartheid; to promote unity and solidarity among African States; to coordinate and intensify cooperation for development; to safeguard the sovereignty and territorial integrity of Member States and to promote international cooperation within the framework of the United Nations.

Indeed, as a continental organization the OAU provided an effective forum that enabled all Member States to adopt coordinated positions on matters of common concern to the continent in international fora and defend the interests of Africa effectively.

Through the OAU Coordinating Committee for the Liberation of Africa, the Continent worked and spoke as one with undivided determination in forging an international consensus in support of the liberation struggle and the fight against apartheid.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA::::

    Ukisoma kwa makini makala ya Taarifa hii Utagundua ya kuwa katika Dunia ya Mwenyezi Mungu huwezi kuwa mwema kwa kila mtu na pia huwezi mridhisha kila Binaadamu!

    Huu Muono wa Makala hii kuhusu AU (Umoja wa Afrika) ni Mwelekeo wa harakati za aliyekuwa kiongoi wa Libya Marehemu Kanali Gaddafi kama ulivyoona Azimio lilifanyika tarehe 9/09/1999 huko Sirte-LIBYA na lilifanywa na Wakuu wa Nchi za Afrika wakati huo.

    MWELEKEO:
    1-Waafrika kuungana pamoja na kusimamia rasilimali zao, na kuona matokeo yake kwa mchango ktk uchumi wa Dunia.
    2-Kuondoa migogoro baina ya Waafrika na Dhana potofu zilizowekwa na Utandawazi dhidi ya Mwafrika.
    3-Kuangamiza mabaki ya Ukoloni Mamboleo na Ubaguzi wa Rangi ambayo yanakwamisha Afrika kimaendeleo.
    4-Kumpa Mwafrika msimamo wa kisiasa na mwamko ktk eneo lake kama sehemu ya Umoja wa Mataifa.
    5-Kushirikiana kwa Waafrika ktk mambo yanayogusa Maslahi yao na Mwafrika kujiamini na kutetea maslahi yake.

    SASA HAPA NI KUWA MWAFRIKA ALIKUWA NA MSIMAMO AMBAO ''AMEMPIGA NYOKA KICHWANI'' KWA MTU ANAYEELEWA MASUALA YA KIMATAIFA WAZUNGU HAWAPENDI MTU AU WATU WENYE MWELEKEO KAMA HUU!

    KWA VILE MWELEKEO HUO UMEKUWA UKIMSASAMBUA MZUNGU NA KUMWADHIRI MBELE YA ULIMWENGU KWA SERA ZAKE DHALIMU DHIDI YA MWAFRIKA NA WATU WA CHINI HATA WALIOMO KTK NCHI ZAO.

    Na hii itakuwa ndio moja ya sababu kubwa za Mabadiliko ya Kisiasa nchi za Kiarabu (Wakiita Mwamko wa Kidemokrasia wa Waarabu) yaliyo chochewa na Marekani na Washirika wake.

    SASA KAMA MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE NI HODARI WA DEMOKRASIA, MBONA KILA UCHAO INAKUWA YA KWANZA KUPINDISHA DEMOKRASIA NCHINI KWAKE?

    KAMA MAREKANI NI BINGWA WA DEMOKRASIA MBONA TULISHUHUDIA CHAGUZI ZA MASHAKA KWA KUHESABU KURA KWA MIKONO NA KWA KOMPUTA KWA MIEZI MITATU?

    KAMA MAREKANI NI BINGWA WA DEMOKRASIA MBONA INAVINJA HAKI ZA BINADAMU NDANI NA NJE KILA UCHAO WAKATI HAKI ZA MSINGI ZA BINAADAMU UKIWA KAMA NDIO MUHIMILI MKUU WA DEMOKRASIA?

    Sawa inasemeka Gaddafi alikuwa na malengo ya Giza dhidi ya Afrika lakini kwa Uzito wa MWELEKEO HUU ingefaa Afrika kwa nguvu zote ikingie kifua hichi kitu.

    ReplyDelete
  2. Mara zote Adui yako hukuombea njaa na usiwe na msimamo!

    Hawa Wazungu wanaependa Afrika daima iwe na Uongozi usio na msimamo (Kuwa na Mafisadi) ili waweze kuhujumu na kupora rasilimali wakishirikiana na Viongozi wacheche wasio waaminifu.

    Daima ,Mzungu anapenda kuifanya Afrika kama msitu wa Tambiko na SHAMBA LA BIBI mahala ambapo anachukua rasilimali kwa wizi na bila malipo!

    Daima , Mzungu hupenda kuiona Afrika isiwe na msimamo katika kuendesha mambo yake ili iwe rahisi wao kufikia lengo kuiibia mali zake wakishirikiana na Viongozi wezi wachache.

    Mfano kwa wale wanaofanya kazi kwa Wahindi,Waarabu na Wasomali daima hawa jamii ya Hamitic (nywele nyembamba) LABDA UKUTANE NA MWENYE ROHO NZURI NA KAMA NABII!, wengi wanataka uwe na shida tu usitoke kimaisha kwa vile ile shida yako ndio kwake Mtaji wa yeye kukutuma wewe!

    Mwanauchumi Adam Smith ktk Karne ya 17 aliandika makala yake muhimu sana kuhusu ''WEALTH OF NATIONS'' ,yaani Uwezo wa Mataifa Kiuchumi na jinsi msingi walivyouchuma.

    Ni dhahiri kuwa nchi nyingi zilizoendelea zilipata mali kwa uporaji Rasilimali na Utegemezi ,kupata nguvu kazi ya bure au rahisi kama Watumwa,,,HIVYO UKOMA HUO AU KANSA HIYO HAIWEZI KUISHA KWA MATAIFA HAYO KUWA TEGEMEZI WA RASILIMALI, TENA SASA KWA KUUNDA SERA ZA KULAZIMISHA, KUPORA NA KUFIKIA MALENGO KWA LAZIMA HATA KUPITIA KUENDESHA VITA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...