Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hicho kizee wade amechoka ile mbaya. amekaa madarakani miaka mingi kwahiyo apumzike. i hope watu wa senegal watamuondoa this time. uousou mbona ume declare your candidacy so late. gado i love your cartoons. you are soooooo good. i am very proud to find out that you are a tanzanian. i always thought you were a kenyan kumbe hapana.

    ReplyDelete
  2. Wade na ma Raisi kadhaa katika Afrika wamekuwa kama hirizi!

    Hawa watu siku zao zimeisha bado M-7, Omar Bashir, Yahya Jamee ingawa ameshinda uchaguzi last December Gambia kimagomashi!

    ReplyDelete
  3. Wazee kama hawa hata bongo wanatakiwa waondoke kabisa madarakani ili tuwe na damu mpya yenye mtazamo wa kisasa.

    ReplyDelete
  4. Wade anataka kubadilisha katiba kwa sasa.Wasenegali wameshamchoka lakini atatulia kamchezo ketu kale kushinda.Asante Gado..unaonyesha una upeo mkubwa wa uelewa,CN zako ni za kisomi sana!!

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...