Home
Unlabelled
GADO LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ze biashara iz matangazozzzzz
ReplyDeleteafrika mokili mobimba !
ReplyDeleteWatani wajadi hao, hamna kulala. Kalagha bao nyie kelele wenzenu wapeta.
ReplyDeleteWawekezaji wa aina hiyo hata Bongo wapo kibao.
ReplyDeletesina mbavu na hiyo picha ya rais hapo ukutani
ReplyDeleteKazi nzuri braza G.
Ahhhh hapo hakuna Mwekezaji ,msururu mzima ni Timu ya mauzo!
ReplyDeleteInasikitisha sana. Jamaa wa Sudan Kusini wamepata uhuru wao hata mwaka mmoja haujatimia na wameanza kuuana wenyewe katika vita vya kikabila. Mw Nyerere alisema "There's a devil in Africa". Wakati huo sikuelewa ana maana gani. Sasa naanza kuelewa alikuwa na maana gani. Hebu Waafrika tuanze kujifunza kutanzua matatizo yetu bila kumwaga damu. Vinginevyo (Mungu aepushe mbali) tutaendelea kuwa watu wa kuishi katika makambi ya wakimbizi huku tukingojea misaada kutoka UN na mashirika mengine ya 'kibinaadamu'.
ReplyDeleteAfrica makambo mingi papa!
ReplyDelete