Leo ni Hepi Besdei ya Blogger maarufu Ahmad Issa a.k.a MichuziJR ambaye anaendesha blogu ya JIACHIE. Mdau huyu leo anatimiza miaka yake kadhaa baada ya kuifyeka vilivyo lakini Ijumaa yaleo ameitumia kumshukuru Mungu kwa baraka na afya tele aliyomjalia na kumsihi amzidishie miaka mingine kadhaa huko mbele. I am Proud of you guy and keep it UP!
Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa michuzi Jr leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankal hapa naona umejizaa mwenyewe wala hakuna wasiwasi.Happy b'day!!!
ReplyDeletenakutakia kheri nyingi mwana libeneke.
ReplyDeleteMdogo wake siyo mtoto wake we vipi kijana wa kwanza?
ReplyDeleteMdogo wake siyo mtoto wake we vipi kijana wa kwanza?
ReplyDeletehongera kijana. Kuhusu mrithi wa Senior, hatuna shida kabisa.
ReplyDeleteMabruk bwana mdogo
ReplyDeleteMungu akuzidishie
Happy Birthday Michuzi Jr.!
ReplyDeleteDuh ivi kwenye hiyo keki naona sura yako au nawaza tu? Kama kweli tupe kontact za mtengenezaji wa hiyo keki
ReplyDeleteJamani hiyo keki tugawane na mimi leo ni birthday yangu!
ReplyDeletehongera sana unafanana kweli na mtoto wako.
ReplyDeleteHongera sana Ndugu yetu,tunakutakia maisha bora na afya njema.
ReplyDeletewadau FFU ughaibuni