Home
Unlabelled
DK.SLAA AHUTUBIA MBALIZI MBEYA MVUA IKINYESHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwacheni apigwe na mvua na yeye....kwanini wamkamatie mwevuli
ReplyDeleteAcha pumba wewe afya yake ni ya thamani sana kwetu huyu mtu.
ReplyDeletemike zitadedi wewe chandimu!
ReplyDeletewewe mdau wa juu, hujui kuwa mheshimiwa Slaa huyo ni kamanda wa vita, unafikiri anajari hata akinyeshewa mvua ya mawe!!? yeye mwenyewe ni jiwe kwa taarifa yako.
ReplyDeleteNguvu ya Umma ni zaidi ya mafuriko! Haizuiliki kwa mabomu, mvua wala kwa vijembe kama vya anonymous wa saa 12:10. PEOPLE'S POWER!
ReplyDeletePeople's Power! Hakuna kulala.... na bado maana jana Nape alihakikisha umma kuwa ile "list of shame" ya 2007 ndani ya ccm ni cha mtoto. Sasa hivi ni ndefu zaidi ya mara 50 na wala ccm haijui cha kufanya. Tafakari...chukua hatua...
ReplyDeleteour future president
ReplyDeletehata mseme nini Dk Slaa ndio chaguo la Watanzania,CCM sasa kaendi pembeni nae ajaribu maana tumewachoka mimi binafsi naona uozo mtupu kwa baadhi ya viongozi....CDM ndio ya ukweli kwa sasa nadhani tuipe nafasi tuone,kwanza CCM mmeshaongoza sanaaaaaa halafu sioni tofauti yani tunafikia wakati baadhi ya watanzania tunasema bora tungechelewa kupata uhuru pengine tungekuwa mbali maana baada ya kwenda mbele tunarudi nyuma,serikali gani iliyojaaa ufisadiiiiiiiiiiii....usibanie comment kwa kuwa upo karibu na kaka mkubwa hahaha siku hizi
ReplyDeleteHuyu Slaa hakusoma, ni form VI tuu. Hiyo PhD yake ya kanisani haiwezi kuwa elimu ya kutosha kuendesha nchi. Slaa CV yake ni form VI na akiomba kazi serikalini basi atapewa kama za form VI wengine lakini siyo uongozi.
ReplyDeleteSlaa anatumia udhaifu wa wananchi kifikra kwa sababu anajuwa udhaifu huo ndo unawafanya wapige kura hovyo. Ndiyo, wananchi wengi ni wadhaifu wa fikra kwa sababu ya maadui watatu: ujinga, maradhi, na umasikini. Udhaifu huu ndo ulifanya watu wamkubali Mwasapile wa loliondo na mitishamba yake.
Slaa kukosa kisomo sahihi cha kuendesha ulimwengu (manajuwa kama vile digrii ya siasa, uchumi, sheria, sayansi, n.k.) kulimfanya ashindwe kuoa single au mjane akaishia kuvunja ndoa. Jinsi ujinga unavyofanya mtu akose maadili.
Pia kama walishindwa kuona suala la DC wa Igunga je Slaa ana mtazamo? Na kama alishindwa kuleta suluhu la kuunganisha wapiga kura, je ana judgement huyu?
Kama mnataka uraisi, basi Mtuhuru/Freeman anafaa zaidi ya maslishaji.
Yaani mapasta na mashehe ndo wanagombe badala ya wasomi na sisi tunafuata kama vipofu.
Slaa udaktari wake unakubalika zaidi kanisani kwake, kwa watu wengine hakusoma.
Kama unaona Slaa ni daktari basi nenda shule au fungua akili maana imani imekupofua.
wewe wa hapo juu, inakuuma nini mwezio kushikiwa mwavuli? Inahuu?
ReplyDeletehehehe, eti peoples power! Kawe tumempa Ubunge mtu wa Chadema hatuoni kipya wala hatumsikii. Acheni ujinga wa kuwashabikia watu jileteeni maendeleo wenyewe.
ReplyDeletekaz inaendelea! harakati hazi rali
ReplyDeleteUsishangae huo umati mbeya watu huwa wanapenda matukio hata kichaa akiaanza kuruka ruka barabarani aweza vuta watu na kujaza umati kama huo.Mbeya ni sehemu ya ajabu mno.
ReplyDeletekanisa linafanya kazi yake
ReplyDeleteNarudia urais hafai wala hataupata huyo mwanaharakati mzinzi. Tunabadilisha katiba ili zito awe rais.
ReplyDeleteHivi huyo aliyeshika bango hajui dunia ilivyo na inakokwenda. Mngejua kila mtu anataka huo urais kwa manufaa yake binafsi na sio kwa umma. Mimi sina chama ila nimekuwa nafanya analysis na nilipoteza kura yangu 2010 kumchagua Myika pale kimara lakini hakuna alichokifanya kabisaaaaaaaaaaa wanasubiri hoja ije iliaanze kuijadili ooh mara hivi au vile huo ni viongozi gani Wadanganyike fungukeni macho jamani mtakuja kuongozwa na vichaa
ReplyDeleteMnasema list of shame ya CCM na ya Chadema je? Ikitolewa list of shame ya Chadema huyo babu yenu mwenyewe haponi, kuanzia uzinzi mpaka ulaji wa ruzuku za chama. Mwacheni alowane hapo na mvua lakini mwaka 2015 atashika nafasi ya 3 labda waweke mgombea mwingine, maana si yeye wala Mkiti wake hawapati kitu!
ReplyDeletewewe ni chizi uliza kwanzaili mtu ugombee Urais ni lazima uwe na Elimu gani siop unakurupuka tu eti Slaa form four ulishawahi kuona padre form 4 wewe ni kilaza nenda darasani kwanzal;akini sio kosa kosa lako AKILI YAKO NI YA KICCM CCM ndio maana na kama wamekutuma kawaambie wamenoaaaaaaaaaaa......
ReplyDelete