We are to introduce latest Tanzanian beauty senstaion, Precious John, a.k.a Miss United States International University (USIU) for 2011.
As we speak Precious is vying for the Miss University Kenya 2012 crown.
OUR appeal to all WADAU u is to promote our very own Sister.
As we speak Precious is vying for the Miss University Kenya 2012 crown.
OUR appeal to all WADAU u is to promote our very own Sister.
Please vote for Precious as votes will count 60% of total marks. It will be a pride for our Nation if the Crown is won by a Tanzanian abroad. Voters should open: www.pambazuka.co.ke.
The big day for the event will be 20th January, 2012 in Nairobi, Kenya, likewise the voting date ends on that day. Voters are allowed to vote every 12 hours.
Haya Shime WADAU na tumpe Taffu Precious ashinde!
Michuzi Blog Team
Umbo lake si la umiss. Mfupi na mnene, mapaja manene. Ajitahidi kwenye shule. Mawazo yangu tu.
ReplyDeletekwa hiyo hata kama sidhani kama ni mzuri kushinda wengine mnataka tumpe voti kwa sababu tu ni mtanzania? isn't that cheating? na sioni ni kwa vipi ushindi wake uwe pride ta tanzania, hebe tuelimishe. Akishinda ushindi ni wake akishindwa ameshindwa peke yake.
ReplyDeleteTena mnatuchangaya, huyu anasoma katika chuo kilichopo kenya au USA?
she has to work on the weight
ReplyDeleteUSA............Kenya.......... contradicting,clarification please.
ReplyDeleteWeight gani na nyie wakati haya ni mashindano ya wabantu? Na wewe unayesema ajitahidi kwenda shule kwa vile 'umbol lake si la umiss' ina maana unapokuwa na umbo la umis huna haja ya kujitahidi shuleni au? Mamiss hawana haja ya kuwa wasomi? Acheni chuki zenu.
ReplyDeleteHey guys thank u for the comments..about the university,it is an american university branched in nairobi,kenya.
ReplyDeleteKama umeweza kuingia humu kutoa maoni...unashindwa nn kutafuta google kuona kama chuo kipo Kenya au la!? Sio kila chuo kikiitwa Nelson Mandela basi lazima kiwe Afrika kusini!
ReplyDeletePrecious dada, ure gud 2 get t... Ucjal hyo anaye ponda eti huna umbo la ki miss, ni wivu 2... We r side by side, hand by hand, mekn sure dat u must win that.. 2gthr we stand
ReplyDeletenoooo problem we will vote 4 u...... we embrace curves coz we are AFRICANSSS....
ReplyDeleteWaliokuwa Mr. Impossible (Bwana Haiwezekani) and Mrs.Impossible (Bibi Haiwezekani) ni wengi sana!!!.
ReplyDeleteWandugu tuache hulka mbaya ya kukatishana tamaa kama huna hoja ya kutoa maoni acha tazama mambo mengine ktk blogu ya jamii!