Sherehe hiyo ya kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 iliandaliwa kwa ushirikiano mkubwa na Watanzania waishio Dallas ambao ni Alvin Mchaga( katikati), Kitova Mungai kutoka Ngome Entertainment (kushoto) na Peter Kihwili (kulia).
Home
Unlabelled
Watanzania Waukaribisha Mwaka Mpya 2012 Kwa Furaha Ndani Ya Dallas, USA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hivi vazi hilo la juu kabisa linavaliwa katika mazingira gani. Mimi usafiri wangu ni daladala, tena za Mbagala. Linanifaa?
ReplyDelete