Anko Michuzy,
Well braza, ur blog is awsome.
Allow me to address you thus cos this topic that  am bringing up is all about that. All along I've been hearing about KiswaNglish and seen that few ever take it seriously that in TZ we can also mould our very own 'pidgin language' and get along as Nigerians up there do. No pun intended, guys and gals, but What I am driving at is that all what we have to do is start one language that is unique to Bongolanders and promote it. Lets call it BONGOLANG. Why not? Well, if there is mchakato for the national dress, how can  having our  national Tanzanian pidgin be harmful here? 
Lets start with a short open letter to you, Michuzy. And I hope other wadau will take a queue and improvise:


Dia braza Michuzy,
Ai lav yua blog veri mach. Not a dei pasez me wizaut fungualing it. yu a rili gret. ze onli problemu iz yu laik kujoki  veri mach. I kip jiulizaling wai? Yu tek gud pichaz but ze kontent sumtaimz ar simpo sana.
Senk yu
Mdau wa Bongolang
Ps: I beg waosha vinywa wachangie kwa namna hii pliiizzzzz.....





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. wewe una problem flani flani

    ReplyDelete
  2. hakuna lugha bora kama kiswahili , asante kwa maoni yako , lakini bado kiswahili ni lugha pekee inayozungumwa na wato 100 milion africa na ndani miaka 10 itakuwa 150 million burundi rwanda watazungumza .

    slim slim
    bagamoyo

    ReplyDelete
  3. we mdau naona level yako iko chini sana.
    Yaani umeona hao wa-Nigeria ni wa maana sana kuigwa?
    Unatutia aibu sana, ondoa kabisa hayo mawazo yako hayafai kabisa.
    Eti Bongolang? ndio ujinga gani huo?
    Bongo kama mtu anataka English anazungumza proper English au kama kiswahili proper kiswahili.
    Hayo mambo ya pigin ya kizamani. nenda shule ndugu.

    ReplyDelete
  4. Umekosa kazi. Au akili yako haina akili!

    ReplyDelete
  5. Wewe some screws are missing...if u don't enjoy the blog get za faki auti of hia...

    ReplyDelete
  6. hivi wodi ya mwaisela bado inapokea wagonjwa?

    ReplyDelete
  7. Watu wanapambana kuokoa lugha yetu nadhifu ya kiswahili we unakuja na mpango wa kuiua?

    ReplyDelete
  8. Shwari tu, Ila kila mtu anaelewa bwana. Mi naona iko very simpo.Ilitakiwa iwe kisweng, ila wewe umeandika english kwa kiswahili, kila mtu anasoma tu.

    ReplyDelete
  9. Wazo zuri. Najua kuwa Nairobi vijana wa mjini wana lugha yao inayoitwa Sheng (Swahili/English). [kwa mfano, Sheng inatumika katika ule wimbo 'Maishani mwangu sijampata mkare'].Hata hivyo ukuaji wa lugha unajitokeza bila kupangwa awali (spontaneously) kama pidgin ya Afrika magharibi ilivyoibuka.

    ReplyDelete
  10. Nadhani wewe mchangiaji wa kwanza (Wed Jan 18, 12:41:00 AM 2012)ndio una problems nyingi sana. Mwenzako katoa wazo, wewe kama huna kitu cha kuchangia basi nyamaza.

    ReplyDelete
  11. akili zako hazina akili, inaelekea unabeba boksi sana ndo maana unachanganyikiwa

    ReplyDelete
  12. Nice point, but wrongly addressed!

    ReplyDelete
  13. Nadhani hata wale wanye kasumba ya kupenda vya wageni na kuchukia vyao HAWATAAFIKIANA NA FIKRA YA BONGOLANG. Ninachokusifu ni huo ushujaa wako wa kutoa wazo lako ambalo pamoja na kwamba wengi hawatukubaliana nalo, wanawajibu wa kuheshimu rai ya mtu hata kama ni mbaya kama ilivyo hii yako.
    Wanigeria siyo mfano wa kuigwa.siyo tu katika Pidgin bali hata katika mambo meengi sana.SISI TUNAOISHI NAO TUNAWAJUA VIZURI.
    Nadhani baada ya wewe kusoma rai za wadau waliotangulia na watakaofuata hutaona ugumu wa kubadilisha msimamo wako. NAKUOMBEA KWA MOLA UBADILISHE MSIMAMO WAKO.

    ReplyDelete
  14. saga lami huko

    ReplyDelete
  15. NINYI NDIO WALE WALE WASENGE MMNAWAONA MA NIGERIA KAMA MIUNGU SHENZI TAIP NENDA KAISHI HUKO KWAO MBWA SWAIN WANAOKUNYA OVYO KATIA MASHIMO. WEWE UNAJUA KAMA USTAARABU HUKU NIGERIA HAKUNA KILA SIKU IKIFIKA SAA KUMI NAMBILI JIONI UFUKWE WOTE WA BAHARI WATU WAMEJIPANGA KUNYA BAHARINI . AU NA WEWE UNATUMIWA KUWABEBEA UNGA HAO NYANI WAMEKUFANYA NA WEWE UWE NA AKILI KAMA YAO.

    FAK YUU, IDIOTI

    ReplyDelete
  16. we utakuwa nshomile tu tena kwenu kanyigo.

    ReplyDelete
  17. Tatizo utoto!

    ReplyDelete
  18. tumepewa mkate mzuri halafu tuweke
    mchanga na vimawe, eti ni vizuri kuchangaya. hebo wewe vipi?
    hata wazungu nao wana kamusi mbili
    oxford or cambridge style na zile za urban dictionary (lugha ya wacheche)ambayo ukionge watu wanaona wee kama unawizimu

    it is better to consilidate the language you have rather than trying to create a new one that not that many people speak or understands it.

    it is either Kiswahili au Kingereza but not both mixed up!!


    Ni hayo tu.
    Mkulima wa milima ya Kipengere

    ReplyDelete
  19. zis izwatamu tokingi abaur, eveledee mi ai tok zis bloken ranguaji ende iz afekting mi antir nau ai hevu infekti mai korigz. iz vele fan ende ai raf evele moment

    ReplyDelete
  20. Ni wazo tu, kwanini kurushiana matusi? Bora kusema wazo lako halifai, kumrushia mwenzenu matusi ni dalili ya upungufu wa busara na hekima kwa anayetukana! Mwenye hekima lazima awe na uwezo wa kuvumilia na kuheshimu mawazo ya wengine, hata kama kwake hayapendi. Hivi walimu nao wangetumia lugha za matusi na kejeli kuelimisha wanafunzi wao pangetosha?

    ReplyDelete
  21. shenzi kabisa. akir yako haina akiri mpumbavu wa mwisho we, kina nyerere walifanya kazi kuwaunganisha watanzania kwa kiswahili afu we unaleta ushenzi wako wa pidgin sijui, nenda nigeria kajifunze nyau we

    ReplyDelete
  22. Yaanu huyu aliyetuma habari hii ana matatizo ya kasumba! Sisi watanzania lugha yetu ni KISWAHILI,ndiyo zawadi alietupa MUNGU,pamoja na kuwapo makabila zaidi ya 120 lakini kiswahili kinaunganisha watu wote Tanzania,
    Sasa hii kasumba kuwa tujaribu kuwa na lugha nyingine au Pign language ! ya nini? wanazungumuza Pign kama Jamaica,haiti, au lugha za Creyole (Mchanganyiko wa kifaransa na lugha zao za hasili) walikua hawana jinsi kwani Biashara ya Utumwa, ndio iliyosababisha wakawa hivyo.
    Nigeria na english yao ya kiutapeli ambayo imejaa utumbo mtupu,haikubaliki kimataifa.
    Sisi ni WAUNGWANA hatuwezi kuwa Washenzi wa kuuza zawadi tuliyopewa na Mungu yaani Lugha ya KIswahili.

    ReplyDelete
  23. Huyu ama ni teja, au street boy au mwanafunzi asiyependa shule.
    Huko Kenya wana swaga zao za vifupi, kilugha na kiingereza.

    Mambo hayo. sisi kama ni kiswahili basi kiswahili kweli kama kiingereza basi ni queens english

    ReplyDelete
  24. you used the phrase "no pun intended" out of context. unless there was a pun that i missed.

    ReplyDelete
  25. mdau nenda shule ndugu unapoteza muda wako au karibu kubeba box ujipatie pounds.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...