Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akiongoza kikao cha Kamati ya uongozi ya bunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu Bungeni Dodoma Leo. kamati ya Uongozi imekaa kupitia upya ratiba ya mkutano wa Bunge ulioanza leo kwa lengo la kuboresha na kupanga siku ya kujadili miswada mbalimbali itakayowasilishwa Bungeni. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Home
Unlabelled
kamati ya uongozi wa bunge yapitia upya ratiba ya mkutano wa bunge.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kitakachofuata baada ya hiki kikao ni posho ya kikao.Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteMPITA NJIA