Bwana Kaka,
Naona Kiswahili kinaaminiwa mpaka nyimbo za kihindi za Bollywood zinafanyiwa tafsiri na wadau wa Kiswahili kama hii video/audio ya Youtube:
MDAU
Naona Kiswahili kinaaminiwa mpaka nyimbo za kihindi za Bollywood zinafanyiwa tafsiri na wadau wa Kiswahili kama hii video/audio ya Youtube:
MDAU
unajua nini maana ya kuchi kuchi au unatafsiri tu-ni matusi hayo
ReplyDeleteSafi sana, angalau tunajua sasa mwimbo unasema nini. Ila inabidi kuwe na sauti ya kike kama ulivyo kwa Kihindi.
ReplyDeleteMh! hii itakuwa studio za kariakoo wamefanya hii kitu ndo maana hata sauti badaka ya kuwa nyuma ya vyombo ipo mbele ya vyombo, hata hivyo amejitahidi
ReplyDeleteEE hiyo kali sana!ha ha ha hiyo sauti,wenye nyimbo wakisikia watachukia kitendo,umewaharibia nyimbo!Na huyo lazima atakuwa ni muhindi,,amekosa mwanamke wa kuimba nae,,,katika wasanii wa kike TZ asingewapata maana anaimba nje ya key!..Ahlam ,,UK
ReplyDeleteMsomali kaipatia sana!
ReplyDeleteAsanteni kwa maneno yenu...Mimi siyo msomali wala mhindi haswa.....
ReplyDelete