Bwana Kaka,
Naona Kiswahili kinaaminiwa mpaka nyimbo za kihindi za Bollywood zinafanyiwa tafsiri na wadau wa Kiswahili kama hii video/audio ya Youtube:
MDAU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. unajua nini maana ya kuchi kuchi au unatafsiri tu-ni matusi hayo

    ReplyDelete
  2. Safi sana, angalau tunajua sasa mwimbo unasema nini. Ila inabidi kuwe na sauti ya kike kama ulivyo kwa Kihindi.

    ReplyDelete
  3. Mh! hii itakuwa studio za kariakoo wamefanya hii kitu ndo maana hata sauti badaka ya kuwa nyuma ya vyombo ipo mbele ya vyombo, hata hivyo amejitahidi

    ReplyDelete
  4. EE hiyo kali sana!ha ha ha hiyo sauti,wenye nyimbo wakisikia watachukia kitendo,umewaharibia nyimbo!Na huyo lazima atakuwa ni muhindi,,amekosa mwanamke wa kuimba nae,,,katika wasanii wa kike TZ asingewapata maana anaimba nje ya key!..Ahlam ,,UK

    ReplyDelete
  5. Msomali kaipatia sana!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2013

    Asanteni kwa maneno yenu...Mimi siyo msomali wala mhindi haswa.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...