Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. wala hawajakosea

    weye ndio umechemka eti lugha gongana

    ReplyDelete
  2. Ndio yupo sasa ikiwa kweli anasambaza soft water.

    ReplyDelete
  3. Yes, there is soft water. Kwahiyo katika hilo hakuna lugha gongana.

    Soft water is not physically soft, but soft water refers to the soluble mineral content of the water

    Water that has minerals in it is called "hard water," and water without minerals is called "soft water." Water's natural hardness or softness is determined by its source--certain rocks, such as sandstone or granite, are less likely to leach minerals into the water.

    ReplyDelete
  4. Ndo Maimuna kweli,yaani hujui kama kuna soft water

    ReplyDelete
  5. he/she is right Soft water by Chemistry is termed the right and good for human Use,,,

    ReplyDelete
  6. On my opinion I think this:

    'Soft Water' refer un contaminated water(safe water), something clean withought waste contents.

    WHILE:

    'Hard Water' refer dirty water like sewage waste.

    ReplyDelete
  7. walioandika wako sahihi au hujui kwamba kisayansi kuna soft and hard water?

    ReplyDelete
  8. alichotaka kumaanisha michuzi ni utani yani juu man u na chini soft water. kila mtu anaelewa soft water na hard water.

    ReplyDelete
  9. Hamjamuelewa Michuzi. Lugha gongana ipo hapo kwenye bango la 'TUNAUZA MATOFALI YA UMEME'. Sijajua yanafananaje hayo ya umeme.

    ReplyDelete
  10. Soft water - maji yasiyo na chumvi
    Hard water - maji ya chumvi.
    Kushney...acha kutafuta tafsiri za kisayansi hazihuu hapa

    ReplyDelete
  11. hakusoma sayansi huyo msameheni. Next

    ReplyDelete
  12. Ankal huwa huchemkagi mara kwa mara lakini leo umechemka. There is indeed soft water kwa hiyo jamaa hajakosea kudai kuwa anasambaza soft water. Suala hapa ni kama kweli maji yanayobebwa na lori hili chakavu ni soft water au ni maji ya kawaida tu.

    ReplyDelete
  13. mzee wa bunjuJanuary 27, 2012

    tofari y umeme ndo alicholenga

    ReplyDelete
  14. Wabongo bwana kwa kujifanya wasomi !!!!sasa huyo hajui hata Soft water maana yake nini sasa mnapomwambia sijui chemistry Bla bla bla bla huoni ndio mnampotosha asijue hata kinachoendelea!achen bla bla na chemistry zenu za Test tubs. Muelezeni kirahisi maana inaelekea kweli hafahamu.
    soft water- maji safi na yasio na chumvi na hard water maji chumvi kama maji ya baharini nk. full stop hizo chemistry zenu Hazituhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ASANTE.

    ReplyDelete
  15. kikemia yaani kisayansi yuko sawa, lkn kwa kingereza cha kawaida hayuko sawa.
    kwa wenzangu na mm ambao kemia imetukalia kushoto ni ngumu kukuelewa au kukubaliana na ww kua yuko sawa.

    ReplyDelete
  16. Hamjamuelewa Ankal michuzi yeye anamaanisha kwenye signboard imeandikwa "tunauza matofali ya umeme chini soft water"lugha gongana

    ReplyDelete
  17. nyooooote mmekosea soft water maana yake maji laini wakati maji yenyewe ni laini sasa kwanini aseme maji laini wakati ni maji laini kwa uasilia wake

    ReplyDelete
  18. Kwa wanaoanza kujenga hivi sasa ni vyema mkatumia matofali ya umeme ili msipate shida ya umeme. Lakini sasa unapitisha wapi waya ili uunge switch na bulb. Huyo muuzaji angetueleza matofali ya umeme yakoje.

    ReplyDelete
  19. Hilo boza halipo kisayansi jamani! Alitakiwa andike maji baridi au maji chumvi, ndivo tulivo zoea! Anko upo sawa!

    ReplyDelete
  20. wote mnamsingizia ankal amechemsha mkumbuke ankal hayuko bongo yuko uswisz anakula baridiQ!!!!!
    Gida

    ReplyDelete
  21. Popoabawa mzee wa majunguJanuary 27, 2012

    hiyo kemia yenu ya kidato cha sita nayo mnaiita kemia???kemia zenyewe mnazozisema hazitumiki tena duniani! toka enzi na ezi kemia ile ile wakati wenzenu wanapiga tripu mwezini kila kukicha na kugundua midudu kibao nyie mnabakia na kemia zenu za Mpemba! acheni ushamba!

    ReplyDelete
  22. Huyo hakuwa na maana hiyo .. badala Fresh water yeye kalinganisha na soft drinks .. ndio akaandika hivyo

    ReplyDelete
  23. Watu wakisikia lugha gongana wanajuwa ni kiengereza tu je aliyetuma naye ajibu vizuri ni kuhusu matofali ya umeme au "man u soft water" ukitizama imeweekwa kama utani ila neno ni capital soft water ipo peke yake na kweli kila mtu anajuwa soft water na hard water. MICHUZI IS WATER WHITE? Tehteh

    ReplyDelete
  24. Ukweli ni kwamba Michuzi kachemsha!!! Yes there is soft water AND hard water.

    ReplyDelete
  25. Kwa nini isiwe Clean Water badala ya kuandika Soft Water ambayo ni Lugha ya Kisayansi ila si ile ya matumizi ya kawaida!

    ReplyDelete
  26. table salt

    ReplyDelete
  27. hahahahahahahahahahahahahaha MIMI maimuna.......KICHWA CHAKO,HUJASOMA FORM 2 CHEMISTRY NINI?

    ReplyDelete
  28. Haya wakemia tumewapata na hiyo soft water/hard water. Tunaomba basi mtusaidie na hilo tofali la umeme.

    ReplyDelete
  29. Mdau GenevaJanuary 27, 2012

    ...Tunauza matofali ya umeme... maji safi - clean water lugha gongana!!!

    ReplyDelete
  30. Wewe uliyetoa hii shule haijapanda kabisaa...kuna soft water na hard water referring to mineral composition. Kuna maeneo kama Dar, Tanga na hata kule Shinyanga kuna a lot of hard water...Kiswahili tunaita "maji chumvi"...!! Pole sana mwenzangu angalau umejifunza..Mdau-USA

    ReplyDelete
  31. Bongo kweli tambarare. Utaona lori limeandikwa 'MAJI SAFI' lakini lenyewe likiwa ni chafu hadi linatia kinyaa.

    ReplyDelete
  32. Naona wote mna matatatizo ya kufikiri mliojifanya mnaijua chemistry;

    1.Gari kama lile haliwezi kuuza soft water i.e. maji yasiyo na madini yeyote. Hata distilled water (maji ya chupa) wanaweka chumvi kwa ajili ya afya.

    2. Soft water ni kwa matumizi ya kisayansi na sio kunywa na matumizi yake yana maana kisayansi tu.

    3. Ni kama vile ukisema 'solution' kwa mangwini hii ni kutatua matatizo ama migogoro lakini kisayansi ni mchanganyiko wa chemicals.

    Hivyo lugha za kisayansi sio mara zote zina tafsiri sawa katika hali ya kwaida.

    Kwa hiyo ni sahihi kusema lugha inagomba kwa kuweka maneno kama yale.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...