Home
Unlabelled
lugha gongana........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wala hawajakosea
ReplyDeleteweye ndio umechemka eti lugha gongana
Ndio yupo sasa ikiwa kweli anasambaza soft water.
ReplyDeleteYes, there is soft water. Kwahiyo katika hilo hakuna lugha gongana.
ReplyDeleteSoft water is not physically soft, but soft water refers to the soluble mineral content of the water
Water that has minerals in it is called "hard water," and water without minerals is called "soft water." Water's natural hardness or softness is determined by its source--certain rocks, such as sandstone or granite, are less likely to leach minerals into the water.
Ndo Maimuna kweli,yaani hujui kama kuna soft water
ReplyDeletehe/she is right Soft water by Chemistry is termed the right and good for human Use,,,
ReplyDeleteOn my opinion I think this:
ReplyDelete'Soft Water' refer un contaminated water(safe water), something clean withought waste contents.
WHILE:
'Hard Water' refer dirty water like sewage waste.
walioandika wako sahihi au hujui kwamba kisayansi kuna soft and hard water?
ReplyDeletealichotaka kumaanisha michuzi ni utani yani juu man u na chini soft water. kila mtu anaelewa soft water na hard water.
ReplyDeleteHamjamuelewa Michuzi. Lugha gongana ipo hapo kwenye bango la 'TUNAUZA MATOFALI YA UMEME'. Sijajua yanafananaje hayo ya umeme.
ReplyDeleteSoft water - maji yasiyo na chumvi
ReplyDeleteHard water - maji ya chumvi.
Kushney...acha kutafuta tafsiri za kisayansi hazihuu hapa
hakusoma sayansi huyo msameheni. Next
ReplyDeleteAnkal huwa huchemkagi mara kwa mara lakini leo umechemka. There is indeed soft water kwa hiyo jamaa hajakosea kudai kuwa anasambaza soft water. Suala hapa ni kama kweli maji yanayobebwa na lori hili chakavu ni soft water au ni maji ya kawaida tu.
ReplyDeletetofari y umeme ndo alicholenga
ReplyDeleteWabongo bwana kwa kujifanya wasomi !!!!sasa huyo hajui hata Soft water maana yake nini sasa mnapomwambia sijui chemistry Bla bla bla bla huoni ndio mnampotosha asijue hata kinachoendelea!achen bla bla na chemistry zenu za Test tubs. Muelezeni kirahisi maana inaelekea kweli hafahamu.
ReplyDeletesoft water- maji safi na yasio na chumvi na hard water maji chumvi kama maji ya baharini nk. full stop hizo chemistry zenu Hazituhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ASANTE.
kikemia yaani kisayansi yuko sawa, lkn kwa kingereza cha kawaida hayuko sawa.
ReplyDeletekwa wenzangu na mm ambao kemia imetukalia kushoto ni ngumu kukuelewa au kukubaliana na ww kua yuko sawa.
Hamjamuelewa Ankal michuzi yeye anamaanisha kwenye signboard imeandikwa "tunauza matofali ya umeme chini soft water"lugha gongana
ReplyDeletenyooooote mmekosea soft water maana yake maji laini wakati maji yenyewe ni laini sasa kwanini aseme maji laini wakati ni maji laini kwa uasilia wake
ReplyDeleteKwa wanaoanza kujenga hivi sasa ni vyema mkatumia matofali ya umeme ili msipate shida ya umeme. Lakini sasa unapitisha wapi waya ili uunge switch na bulb. Huyo muuzaji angetueleza matofali ya umeme yakoje.
ReplyDeleteHilo boza halipo kisayansi jamani! Alitakiwa andike maji baridi au maji chumvi, ndivo tulivo zoea! Anko upo sawa!
ReplyDeletewote mnamsingizia ankal amechemsha mkumbuke ankal hayuko bongo yuko uswisz anakula baridiQ!!!!!
ReplyDeleteGida
hiyo kemia yenu ya kidato cha sita nayo mnaiita kemia???kemia zenyewe mnazozisema hazitumiki tena duniani! toka enzi na ezi kemia ile ile wakati wenzenu wanapiga tripu mwezini kila kukicha na kugundua midudu kibao nyie mnabakia na kemia zenu za Mpemba! acheni ushamba!
ReplyDeleteHuyo hakuwa na maana hiyo .. badala Fresh water yeye kalinganisha na soft drinks .. ndio akaandika hivyo
ReplyDeleteWatu wakisikia lugha gongana wanajuwa ni kiengereza tu je aliyetuma naye ajibu vizuri ni kuhusu matofali ya umeme au "man u soft water" ukitizama imeweekwa kama utani ila neno ni capital soft water ipo peke yake na kweli kila mtu anajuwa soft water na hard water. MICHUZI IS WATER WHITE? Tehteh
ReplyDeleteUkweli ni kwamba Michuzi kachemsha!!! Yes there is soft water AND hard water.
ReplyDeleteKwa nini isiwe Clean Water badala ya kuandika Soft Water ambayo ni Lugha ya Kisayansi ila si ile ya matumizi ya kawaida!
ReplyDeletetable salt
ReplyDeletehahahahahahahahahahahahahaha MIMI maimuna.......KICHWA CHAKO,HUJASOMA FORM 2 CHEMISTRY NINI?
ReplyDeleteHaya wakemia tumewapata na hiyo soft water/hard water. Tunaomba basi mtusaidie na hilo tofali la umeme.
ReplyDelete...Tunauza matofali ya umeme... maji safi - clean water lugha gongana!!!
ReplyDeleteWewe uliyetoa hii shule haijapanda kabisaa...kuna soft water na hard water referring to mineral composition. Kuna maeneo kama Dar, Tanga na hata kule Shinyanga kuna a lot of hard water...Kiswahili tunaita "maji chumvi"...!! Pole sana mwenzangu angalau umejifunza..Mdau-USA
ReplyDeleteBongo kweli tambarare. Utaona lori limeandikwa 'MAJI SAFI' lakini lenyewe likiwa ni chafu hadi linatia kinyaa.
ReplyDeleteNaona wote mna matatatizo ya kufikiri mliojifanya mnaijua chemistry;
ReplyDelete1.Gari kama lile haliwezi kuuza soft water i.e. maji yasiyo na madini yeyote. Hata distilled water (maji ya chupa) wanaweka chumvi kwa ajili ya afya.
2. Soft water ni kwa matumizi ya kisayansi na sio kunywa na matumizi yake yana maana kisayansi tu.
3. Ni kama vile ukisema 'solution' kwa mangwini hii ni kutatua matatizo ama migogoro lakini kisayansi ni mchanganyiko wa chemicals.
Hivyo lugha za kisayansi sio mara zote zina tafsiri sawa katika hali ya kwaida.
Kwa hiyo ni sahihi kusema lugha inagomba kwa kuweka maneno kama yale.