Mdau Ruger Kahwa ( wa pili toka kushoto) ambaye ni mtaalam wa masuala ya maafa ambaye pia ni Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia uratibu majanga na misaada ya kibinadamu nchini Papua New Guinea (United Nations Office for coordination of Humanitarian Affairs) Akipata maelezo kutoka kwa Chief wa Tubi clan wakati akifanya tathmini ya maporoko ya ardhi(landslide) yaliyotokea katika jimbo la Hela nchini Papua New Guinea 24/01/2012 na kukisiwa kuuwa zaidi ya watu sitini.
Mdau Ruger Kahwa (mbele) ambaye ni mtaalam wa masuala ya maafa ambaye pia ni Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia uratibu wa majanga na misaada ya kibinadamu nchini Papua New Guinea (United Nations Office for coordination of Humanitarian Affairs) Akiongoza timu ya kutathmini maporoko ya ardhi(landslide) yaliyotokea katika jimbo la Hela nchini Papua New Guinea 24/01/2012 na kukisiwa kuuwa zaidi ya watu sitini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...