Mshambuliaji wa timu ya Bunge SC, Adam Malima akimtoka beki wa timu ya Twiga Stars, Siajabu Hassan wakati wa mchezo wa hisani ambao ulikuwa ni ni maalumu kwa kuichangia timu ya Twiga Stars uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Twiga Stars imeshinda 2-1.
Home
Unlabelled
Mechi ya hisani kati ya Twiga Stars vs Bunge SC kwenye uwanja wa karume jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyo ndio Adam Malima a.k.a. Jembe Ulaya!
ReplyDeletesasa hao wabunge wametoa kiasi gani?je mapato ya meci ni kiasi gani?na hao Twiga wamepewa kiasi gani kati ya mkato wa meci? Jamani tuwe weupe kutoa habari ya ukweli ili watu wenye kupenda changia wachange,natoa hoja
ReplyDeleteNamkubali jamaa kiwango!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMnaona TWIGA wazuri sana,,,mademu wanweza kuwagonga TAIFA kama wakikaa vibaya!
ReplyDeleteHuyo aliyetaka kujua wabunge wametoa ngapi, wametoa Shs milioni saba. Naibu Waziri wa Mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu alimkabidhi nahodha wa Twiga Stars, Sophia Mwasikili. Ungebofya kwa picha zaidi ungepata kila kitu. Haya shime watanzania tuwawezeshe Twiga Stars.
ReplyDeleteHawawez kuwa gonga TAIFA hata kama hawajafanya mwez zoez. Dume ni dume tu
ReplyDeleteHii picha mpiga picha hujamtendea haki huyu mchezaji wa twiga au fahari ya macho?
ReplyDeleteHahahahaa Kuna Mdau wa Kwanza itakuwa hajaelewa Adam Malima nani Kafananisha kuona Malima. Adam Malima ni Mbunge na Bakari Malima ndio alikuwa Jembe Ulaya mchezaji wa zamani Pan African/Dar Young African.
ReplyDeleteIla hapo mtu karambishwa majani naona.
milioni saba ndogo ukizingatia wanapata 200,000 kwa siku.
ReplyDelete