Mpiga picha na mwandishi wa gazeti la Majira mkoani Ruvuma, Bw Muhidin Amri (kushoto), aliyevaa suti akipokea cheti maalum kutoka kwa mwandishi mkongwe nchini,Bw Thomas Lipuka Komba (kulia) kwa niaba ta baraza la habari Tanzania (MCT) kwa kutambua mchango wake hasa kwa kuandika habari na kupiga picha za masuala ya jinsia na Watoto Tanzania.(katikatini) ni Bw Njelela Mvula.
Home
Unlabelled
mpiganaji Muhidin Amri akabidhiwa nondozz mkoani ruvuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...