Familia ya Dkt. Fanuel Maro wa Upanga jijini Dar es Salaam inasikitika kutangaza Kifo cha Baba yao Mpendwa Dkt. Fanuel Maro (pichani) kilichotokea jana jioni (tarehe 7/1/2012) katika Hospitali ya Regency iliopo Upanga, jijini Dar es Salaam.
Masiba na utaratibu wa kusafirisha mwili kwa mazishi unafanywa nyumbani kwa Marehemu Upanga Mtaa wa Longido jijini Dar es salaam.
Ibada ya Kuaga Mwili imepangwa kufanyika katika Kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam siku ya jumanne (tarehe 10/1/2012) na baada ya kufanyika kwa ibada hiyo mwili ya Marehemu utasafirishwa kuelekea Old Moshi Mkoani Kilimanjaro kwa Mazishi ambayo yatafanyika siku ya Jumatano (tarehe 11/1/2012).
Mungu aiweke Roho ya Marehemu Dkt. Fanuel Maro mahala pema peponi
Amina.
Brian, brother wako, na ndugu zako na jamaa wote, poleni sana na msiba huu.
ReplyDeleteMimi ni John Richard.
UK.
Wanatakia familia ya Doctor Maro nguvu na ushirikiano mkubwa kupita wakati huu mgumu. Tunaamini hamna sehemu nzuri kama kwa Mungu. Eeeh Mungu Babu ilaze roho ya Baba yetu mahala pema.
ReplyDeletehuyu baba alikuwa mteja wangu bank, poleni sana jamani.
ReplyDeleteAlikuwa muumini mwema na mwaminifu kwa Bwana Yesu.....RIP Dr, na manafamilia wenzetu mwenyezi Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteRIP Dr Maro, Mungu awape nguvu wafiwa wote
ReplyDeletePeter my dia, pole sana
BRIAN MARO pole na msiba huu mimi SADA SHAHA . Forodhani nitajitahidi kuja
ReplyDeletepoleni san familia ya dk.maro
ReplyDeleteRIP baba Maro. he was my goldfather, Missin u.love u.HE WAS SO ESP TO ME,4REAL.DAMN!KEEP YOUR HEAD UP BRIAN,PETER N THE REST OF FAMILY NA POLENI SANA.RIP DR MARO, FOVER U'LL BE IN MY HEART. AMEN.
ReplyDeleteI MEANT,MY GODFATHER NOT MY GOLDFATHER, TYING ERR. LIFE HAS SO MANY SAD AND BAD MOMENTS. AGAIN RIP DR MARO.thx kaka michuzi wa habari hii.
ReplyDeleteI have been blessed to have him as an uncle, poleni kwa wafiwa wote. RIP Doctor!
ReplyDelete