Home
Unlabelled
MWANAMUZIKI "AJ UBAO" AJA NA KIBAO KIPYA"MAISHA YANGU" AKIWA USA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona siuelewi wimbo huu, yaani intreo ndefu utafikiri ni movie.
ReplyDeleteUimbaji mbovu. no chance on the chart sir.
HII JAMAA NAONA ALIJARIBU NAYE KUUZA SURE TU , AKUNA CHA MZIKI WALA NINI , NA MDOGO WANGU UPO DARASA LA KWANZA ANA ANAIMBA VIZURI KULIKO HUYU JAMAA LOL
ReplyDeleteHAHHA KAKA UMECHEMSHA WEWE PIGA BOX TU NDO UNACHO WEZA MZIKI WAACHIE WAKINA DAZ BABA LOL
MDAU PARIS
Tafuta kazi nyingine ya kufanya kaka this fani is not for you. Usi-force issues sio kwa kuwa baba ni mwanamuziki basi lazima nawe uwe hivyo.. Umejaribu imeshindikana usiharibu jina kubwa alilotengeneza Mzee wako.. Yeye alizaliwa na kipaji... Very painful kuona una struggle... Very pitchy melody.. Ouch..agrrrrrrrr
ReplyDeleteDUU WIMBO MBAYA SANA.... KAMA TAARABU ,,, NADHAN HANA MASHAIRI
ReplyDeleteSome real talk up there brother,try something different,music aint your thing
ReplyDeleteMh, haka kataarab sio kabaya mwe!
ReplyDeleteAJ NICE JOB BABY BOY,GOOD VOICE NICE VIDEO TRANSITION.
ReplyDeleteYOU SHOULD WORK ON SONG LYRICS,YOU DONT HAVE TO WRITE YOUR OWN SONGS, WORK WITH OTHER TANZANIAN MUSICIANS ON LYRICS.
AND THE LYRICS HAVE TO HAVE RHYMES,
THIS SONG SOUNDS LIKE YOU JUST COME UP WITH THE LYRICS COUPLE OF HOURS.
GOOD JOB THOUGH, USIWASIKILIZE WABONGO ...YOU KNOW HOW WE TANZANIANS ARE...
KEEP YOUR HEAD HIGH B AND MAKE US PROUD..
MDAU
DMV
UKISEMA TAARAB MTAKUWA MNAWAKOSEA HADHI WAIMBAJI WA TAARAB MNAWAKOSEA KABISA, HAIPO KABISA KWENYE TAARAB WALA BONGO FLAVA YA SIKU HIZI, HII KAMA BONGO FLAVA ZA MWANZO WA 2000-2005 ZA KINA BIZMAN AU YULE ALIYEIMBA KIKUKU CHA MAMA RODA JAMAA MSIMKATISHE TAMAA MREKEBISHENI TU ABADILI MWENENDO WA NYIMBO ILA VIDEO JAMAA NDIO WAMEJICHORESHA.
ReplyDeletejamani!!!!!kuna watu tunawajua kumbe mambo yenyewe ni hivyo?mi nilikuwa nasikia wengine ma lawyer huko marekani sasa nawaona mnauza sura katika video,ndugu zenu mnatuabisha sasa.
ReplyDeleteyaani hiyo chorus inaonekana imeigwa toka ktk wimbo mwingine wa magharibi, maana midundo ni ya kimagharibi (si angetulia midundo hiyo basi). maana alipoingia na midundo mingine baada ya pale akachemsha. baba yake alikuwa kiboko lkn wimbo huu mbovu. wasiliana na WiseMad wa 360 sounds pale Namanga akutengenezee beats nzuri. mdau UK.
ReplyDeleteWaimbaji wengi walianza hivyo,,afadhali hata wewe video nzuri,,,usikate tamaa,,,jitahidi hao waliokusema watakushangaa,,,Ila Souti ya kuimba huna!Nakushauri uwe unarap na utafute mwenye sauti ya kuimba akuimbie verse yenye melod nzuri ya kuvutia,,Kisha usikurupuke tu na nyimbo,,ipange kisha uifanyie mazoezi,,usijiimbie tu mwenyewe,,Maproducer wa huko naona wanajali pesa tu sio kama wa Bongo,,,uimbaji wa namna hii,,majani angekuzaba vibao,,,au wengine wangekufukuza studio,,,maana kwa mwendo huu wanajiharibia soko,,,,Unasema wewe ni masikini wakati naona unacelebrate tu na wenzio,,wewe ukisema umasikini na wasanii wa nyumbani wenye souti nzuri ambao bado ni hoi bin ta'aban watasema nini?hata nauli ya kwenda studio mgogoro,wanatumia TZ Eleven(TZ11),,,Nimekuwa nao sana ndo maana nakwambia hivyo,,msanii mkongwe,,,Ahlam,,UK
ReplyDeleteWabongo kwa madongo bwana. Huu wimbo hauna tofauti na nyimbo kibao nyingi za bongo flava zilizo ktk chart. Yeah,angejaribu kuweka bets nyingi balada ya kurudia rudia chorus "haya ni maisha yagu", bila kuweka bets nyingine in between. Lakini sio mbaya kama watu walivyokandia.
ReplyDeleteBig ups Aj Ubao.Much love from Pa.
hAKO Ka crooked Dick utafikiri kenyewe ndo wimbo wake maana kameuza sura zaidi hata ya aliyeimba shame on you and you need to grow up
ReplyDeleteShort i'm tired of seeing you selling your face every where u go
ReplyDeleteNICE WORK..MAUDHUI MAZURI......LIVE UR LIFE BROTHER,THERE IS ALWAYS ROOM FOR IMPROVEMENT,DON LET ANY BODY SLOW U DOWN.
ReplyDeletekwa sababu kaimba mtu kutoka marekani basi waosha midomo ndo wamechoooonga,inaeleweka wengi hampendi watu waishio ughaibuni kila wakati ni kuwavunja moyo tu,yatawashindamAj umejitahidi kaka kaza buti,na huyo Dick amewakosea nini hata mkamsema wimbo sio wake inahusu au ndo......
ReplyDeleteFor sure huyu jamaa angeonana na Majani angetolewa nduki....jamaa baaaaaado saaaaana.
ReplyDeleteJamaa jipange km kweli una nia ya kuingia kwenye myuzik sio kirahisi hivyo.
Hiyo style na myuzik wenywe mzima ni old na very very basic.
Crap! Hata watoto wanaojifunza kuimba washapita hiyo hatua.
ReplyDeleteWenzetu walio Nje wanatakiwa kuhakikisha wanatushawishi kuwa huko walipo ni kuzuri kushinda TZ. Sasa inakatisha tamaa kumuona kijana anakaa Nje tena USA ambako wanavifaa bora zaidi vya muziki na wameendelea kwenye tasnia nzima ya mziki anashindwa kutumia advantage aliyonayo kutengeneza nyimbo bora na yenye kiwango badala yake anajidhalilisha a kuleta wimbo mbovu kama huu. Nyimbo hii labda angeitoa miaka ya 90`s wakati vijana wanapigana kutafuta ubora wa RnB na Rap. Kwa taarifa yako Bongo tuko mbali zaidi ya hapo,unaweza kutoka DSM hadi Arusha au Mbeya unasikiliza nyimbo bora za bongo bila kuforward CD jinsi vijana walivyotisha. Sikiliza wakina Bob Jr,Ali Kiba, Diamond, TID,Nature, TMK, Stevie, Lyna, Bele 9, nAKO 2 Nako, Ferouz n.k. Sasa kijana usitake utukumbushe tulipotoka huko hatuko tena, Bongo si kule unakodhani tunatisha. Usijitie aibu kaka, acha tafuta kazi itakayokufaa huku kuimba achana nako, maana ipo siku utajicheka ukijitazama.
ReplyDeleteNi hayo tu.
ha ha haa imekaa kikwaya zaidi.. na mashairi humohumo ebu ngoja nitumie sauti ya wimbo wako kuimba hii.. karudi baba mmoja ooh, toka safari ya mbali ooh, kavimba yote mapaja ooh, nakutetemeka mwili ohh, watoto wake wakaja ooh, ili kutaka hali ooh!
ReplyDeletekaka kiukweli we bado saanaana na wala sie sio mahater ni ukweli na uwazi tuuu