Wale wapenzi wa muziki wa taarubu au rusha roho wa jiji la New York na vitongoji vyake, ile siku iliyokuwa inasubiliwa kwa hamu sasa imekaribia. Hii itakuwa ziara ya kwanza ya Mfalme wa Mduara nchini Marekani na amewawakikishia wapenzi wake makamuzi ya kukata shoka. Vile vile atafanya uzinduzi wa albamu yake mpya "MPENZI CHOCOLATE". Kazi Kwenu!! Kwa maelekezo zaidi au kupata tiketi piga simu namba , & (347) 475 4313 begin_of_the_skype_highlighting (347) 475 4313 end_of_the_skype_highlighting.
Home
Unlabelled
MZEE YUSUF KUFUNGUA ZIARA YAKE YA MAREKANI JIJI NEW YORK JANUARI 21.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ama kweli maisha ni maajabu from zero to hero.
ReplyDeletetunakusubiri mzee!
ReplyDelete