Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Vijana kutoka nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo Afrika Kusini, Namibia na Uganda alipotembelea Kambi Maalum ya Vijana Wajasiriamali wa Kikristu Tanzania (UVIKIUTA) iliyopo Chamanzi, Dar es Salaam. Vijana hao wapo kwenye kambi hiyo kwa ajili ya kufanya kazi za kujotolea. Picha na Bashir Nkoromo.
Home
Unlabelled
NAPE ATEMBELEA KAMBI YA UVIKIUTA - CHAMANZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
jitu la watu jitu la kazi mtoto wa mujini huna hata chembe ya kuja dar wa hapohapo kaza buti
ReplyDelete