Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Aman Karume akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa moja la Skuli ya Mwembe shauri ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Aman Karume akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa moja la Skuli ya Mwembe shauri ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Aman Karume akihutubia wananchi,walimu na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa Jengo la Ghorofa moja la Skuli ya Mwembe shauri, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdalla Mwinyi na mwengine ni Mke wa Rais huyo mstaafu Mama Shadya Karume ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk.Aman Karume akipatiwa maelezo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali,Ramadhan Abdulla Shaabani kuhusu moja ya madarasa ya Skuli hiyo ya Ghorofa moja iliyojengwa Mwembe shauri Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Aman Karume akisalimiana na wanafunzi wa Skuli ya Mwembe shauri kabla ya kuzindua jengo la Ghorofa moja la Skuli hiyo, kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ramadhan Abdulla Shaabani ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...